Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
nina ya tigo....nikupe?
mhh! naoimba mie jamani:whoo:nina ya tigo....nikupe?
nina ya tigo....nikupe?
+255 787 770770 au pata tigo kwa Preta!!
nina ya tigo....nikupe?
We Preta acha kutoa tigo sio vizuri mpe ya VODA
Wana Jamvi,
Naombeni namba ya Airtel ya Dr. Kikwete, kuna kitu muhimu nataka kumshauri. Kuna mtu amenipigia analalamika ati kwa nini ameachwa kwenye baraza jipya la mawaziri. Mie nataka nimshauri Rais amjumuishe wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku.
Nimejaribu namba zake nyingine, lakini zote hazipatikani.
Nisaidieni.
nina ya tigo....nikupe?
yuko nje ya nchi anabembea...
nina ya tigo....nikupe?
Anabembea na nani?
mmmhhhh bwana hiyo ni top secret ya nchi ...
bado napenda maisha yangu ..
hahah lol