Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 738
Wana Jamvi,
Naombeni namba ya Airtel ya Dr. Kikwete, kuna kitu muhimu nataka kumshauri. Kuna mtu amenipigia analalamika ati kwa nini ameachwa kwenye baraza jipya la mawaziri. Mie nataka nimshauri Rais amjumuishe wakati wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku.
Nimejaribu namba zake nyingine, lakini zote hazipatikani.
Nisaidieni.