Unaijua gari ya Billion 5?

Inamaana hiyo gari ukiiuza unanunua nusu ya majengo ya zile hostel mpya wanapaita mjengoni siku hizi....
Si zimekost 10b
 
Katika Sports Cars zote huyo ni mnyama mmoja hatari sana... Haitaki shobo alafu siti mtu mbili tu...


Ukiwa na hiyo gari wala hata huitaji mbio.. Mdogo mdogo tu... Popote utakapopita lazima uache gumzo... Na usishangae trafiki akakupiga mkono na kusema embu kaa kulia kwanza nikusogeze mpaka pale...
 
Hiyo na bugatti veyron ipi kali
 
Hiyo na bugatti veyron ipi kali
Hii wameongeza space ya ndani.. Ni kubwa zaidi ya veyron.. Hii milango inafunguka kawaida veyron inafungukia kwa kwenda juu...

Hii wamerahisha vitu vingi.. Veyron ipo complicated kidogo to many buttons to press...
 
Hizi kontena nne za viroba nikifanikiwa kuzimaliza bila kuletewa vigisu navuta kabisa kitu kama hicho.
Nikopeshe mzigo huo nipunguze kuzisoma nambaπŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€
 
Nikopeshe mzigo huo nipunguze kuzisoma nambaπŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€
Hahaa.
Unaweza kuishi kama digidigi lkn mkuu?
Unatakiwa ukae rada kushoto kulia.
 
asante jf maana nmeiona hata kwa picha gari nzur kama hii
 
Hii wameongeza space ya ndani.. Ni kubwa zaidi ya veyron.. Hii milango inafunguka kawaida veyron inafungukia kwa kwenda juu...

Hii wamerahisha vitu vingi.. Veyron ipo complicated kidogo to many buttons to press...
I don't need that one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…