Mtu anayekupenda siku zote ataruka vigingi atatafta any means za kua karibu na wewe
Hayo ndio tunaita mahusiano ya upande mmoja yanachosha mno
Mapenzi ni kutoa na kupokea, ni aina flani ya hisia lazima ziowane, hata zisipofanana at least mue mnakaribiana
Mawili, either hajakupenda au ana mtu wake anaemkeep busy maybe inawezekana baba wa mtoto wake bado anaishi moyoni mwake
Jaribu kuchunguza mienendo yake, mpe ile tiba ya ukimya, yani mkaushie kama siku mbili hivi na wewe mpe the same treatment uone response yake ikiwa ni the same huyu ni mgum kuishi naye hujui anafurahia, anaridhika, anakukubali, kachukia, au ana feel aje kwa wakat huo
Raha ya mapenzi muwasiliane japo s mara zote lakini mawasiliano muhimu kuwepo,tena mtu hata aanze baby nakumiss, hun sjui nini, she must be romantic bana we ndo mtu wake wapi awe romantic zaidi ako???
Mpe nafas, huku ukimwambia hii n nafas yamwisho ya yeye kujirekebisha asijekupotezea muda wako