Unahitajika ushauri/mawazo kuokoa hili penzi

Unahitajika ushauri/mawazo kuokoa hili penzi

Ok basi jitahidi tu kumsoma ila muonyeshe ma lavidavi tu atasahau shida zinzomsonga akilini
 
Mkuu kama kweli uko serious nenda kwao, kamuone mzazi wake jieleze na umwombe kuongea na binti yake ili upate ruhusa kamili, mtaongea mengi na ambayo hukutarajia kuyajua,

Kuoa single mother siyo tatizo, tatizo ni mwanae na kwa kuwa na wewe una mtoto tayar mtayajenga maisha, fanya maamuzi sahihi na wakati sahihi ili usiumie baadaye.
 
Najitahidi kupitia mawazo yenu then ntakuja na conclusion
 
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.


Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni mtu anaonekana ana vision kuhusu maisha,mwanzoni mwa mahusiano nilishindwa kumwelewa sababu ni mtu ametulia sana yaan mkimya,hio hali ilikuwa inaniumiza sana unajiuliza huyu mtu hafurahii haya mahusiano au ana tatizo gan?!,iko hivi usipomtafuta basi na yy haangaiki kukutafuta,unampigia sim hapokei,baadae akipokea namwuliza hujakuta missed call mbona hukunicheki kujua sababu za kukutafuta bado majibu yake bado yanakuwa hayajitoshelezi/hayaridhishi,kuna siku nilimwuuliza je unanipenda na upo serious kweli unahitaji tujenge familia?,jibu lake ni ndio nakupenda na nipo serious kweli kweli,nilimweleza hio hali ya kuwa mkimya siifurahi kama kuna tatizo niambie,alichojibu aliniambia ndio hivi nilivyo,kwa kifupi hayupo romantic,unajitahidi kumwandikia sms za mahaba lkn majibu yake unachoka,utamtext sms nzuuri lkn atajibu "ASANTEE AU POA",Mpaka huwa najuliza wale wanaopotiwa kwenye status na wapenzi wao huwa wanafanyaje,kuna wakati nilimbana nikamwuliza kama una mtu anakuweka busy niambie tuu nicheki ustaarabu mwingine lkn alikataa katakata na yy kuniuliza kwanin simwamini?kuna siku nilimwita mahali akaja nikamsuprise kwa kumpeleka dukani nikamwambia achague sim sababu alikuwa na sim ya torch,lkn bado hakuonyesha kufurahia hio zawadi,tatizo lingine yupo busy sana ukiuliza sababu anadai kwao amebaki yy na mamaake ndg zake wengine wameolewa na wanaume wana maisha yao mbali na nyumban,so yy ndio wa kumsaidia bimkubwa biashara na shughuli za nyumban,

Tusaidiane mawazo/ushauri...,kiukweli nimemwelewa sana na nnahitaji awe mama wtt wangu ila kinachonipa wasiwasi ni hiyo tabia yake.


NB:Amejaliwa kupata mtt mmoja wa kike nimejitolea kuubeba huo msalaba lkn naona unataka kunishinda kwa tabia yake
Itakua unambana,unamtafuta kila wkt,inawzkn kweli anakupenda lkn wanawake wanavutiwa na wanaume ambao hawawagandi,give her space,na ww Fanya kwa wiki unamtafuta Mara moja,mwonyeshe uko bize na mambo yako,km utampoteza moja kwa moja jua kuwa Mungu hakukupangia huyo,km utafanyia kazi ushauri huu usisahau kuleta mrejesho hapa.
 
Mtu anayekupenda siku zote ataruka vigingi atatafta any means za kua karibu na wewe

Hayo ndio tunaita mahusiano ya upande mmoja yanachosha mno

Mapenzi ni kutoa na kupokea, ni aina flani ya hisia lazima ziowane, hata zisipofanana at least mue mnakaribiana

Mawili, either hajakupenda au ana mtu wake anaemkeep busy maybe inawezekana baba wa mtoto wake bado anaishi moyoni mwake

Jaribu kuchunguza mienendo yake, mpe ile tiba ya ukimya, yani mkaushie kama siku mbili hivi na wewe mpe the same treatment uone response yake ikiwa ni the same huyu ni mgum kuishi naye hujui anafurahia, anaridhika, anakukubali, kachukia, au ana feel aje kwa wakat huo

Raha ya mapenzi muwasiliane japo s mara zote lakini mawasiliano muhimu kuwepo,tena mtu hata aanze baby nakumiss, hun sjui nini, she must be romantic bana we ndo mtu wake wapi awe romantic zaidi ako???

Mpe nafas, huku ukimwambia hii n nafas yamwisho ya yeye kujirekebisha asijekupotezea muda wako
 
Unachofanya ni pata potea,maisha hayajaribiwi unaweza kulazimisha sasa ikawa ni mateso makubwa maisha yako yote;tafuta mtu mwenye uchungu na wewe hao viraka achana nao.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]single maza kwanza hyo ana maswaiba yake tu kama huez kuendana na hyo hali we achana nae unajua kwa nn n single maza????ukijua hlo kwanza unaeza kuelewa kwa nn hayuko interested na wanaume
 
Embu ucwe na haraka naye na ucmuowe kwanza mchunguze ili ndoa iweze kudumu ni mwanamke kumpenda zaid mwanaume lkn kama ww unampenda zaidi tegemea ndoa yako kutokuwa na utulivu peaneni muda kwanza naic kuna vitu havipo sawa kwake labda anampendaa aliyezaa naye masingle mother wengi hawaeleweki
 
Hapo kwenye NB ndio penye shida.
Je baba wa huyo mtoto yupo?, Wapi?
Wanawake wengi wa namna hii huwa na msongo mkubwa wa mawazo hasa kama aliachwa akiwa bado anampenda Sana baba mtoto na tatizo lingine inawezekana mapenzi yake yote yapo kwa mtoto na Pengine hiyo familia yake baada yakuumizwa au vinginevyo.
Asante,
 
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.


Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni mtu anaonekana ana vision kuhusu maisha,mwanzoni mwa mahusiano nilishindwa kumwelewa sababu ni mtu ametulia sana yaan mkimya,hio hali ilikuwa inaniumiza sana unajiuliza huyu mtu hafurahii haya mahusiano au ana tatizo gan?!,iko hivi usipomtafuta basi na yy haangaiki kukutafuta,unampigia sim hapokei,baadae akipokea namwuliza hujakuta missed call mbona hukunicheki kujua sababu za kukutafuta bado majibu yake bado yanakuwa hayajitoshelezi/hayaridhishi,kuna siku nilimwuuliza je unanipenda na upo serious kweli unahitaji tujenge familia?,jibu lake ni ndio nakupenda na nipo serious kweli kweli,nilimweleza hio hali ya kuwa mkimya siifurahi kama kuna tatizo niambie,alichojibu aliniambia ndio hivi nilivyo,kwa kifupi hayupo romantic,unajitahidi kumwandikia sms za mahaba lkn majibu yake unachoka,utamtext sms nzuuri lkn atajibu "ASANTEE AU POA",Mpaka huwa najuliza wale wanaopotiwa kwenye status na wapenzi wao huwa wanafanyaje,kuna wakati nilimbana nikamwuliza kama una mtu anakuweka busy niambie tuu nicheki ustaarabu mwingine lkn alikataa katakata na yy kuniuliza kwanin simwamini?kuna siku nilimwita mahali akaja nikamsuprise kwa kumpeleka dukani nikamwambia achague sim sababu alikuwa na sim ya torch,lkn bado hakuonyesha kufurahia hio zawadi,tatizo lingine yupo busy sana ukiuliza sababu anadai kwao amebaki yy na mamaake ndg zake wengine wameolewa na wanaume wana maisha yao mbali na nyumban,so yy ndio wa kumsaidia bimkubwa biashara na shughuli za nyumban,

Tusaidiane mawazo/ushauri...,kiukweli nimemwelewa sana na nnahitaji awe mama wtt wangu ila kinachonipa wasiwasi ni hiyo tabia yake.


NB:Amejaliwa kupata mtt mmoja wa kike nimejitolea kuubeba huo msalaba lkn naona unataka kunishinda kwa tabia yake
Unamwelewa saana ila tabia yake huielewi.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazazi tuzae
 
Kama katika mazungumzo yenu umewekeza kumkaandia ex wake na kujisifu sana basi anakuona wewe ni wale wale tu.
Jaribu kutoingia kwenye mjadala wa kujadili maisha yake ya zamani jikite kwenye uhalisia wako na sio kusubiri kuuziwa ramani ili upate kujiboresha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom