Unahitaji utajiri wa fasta? Pitia hapa

Ila inauma! Unakuta mtu amekaa viti virefu akipiga beer huku ameshika tama! Anafikiria namna ya kwenda kwenye chumba kilichotengwa ili kulisha watu pumba. Utajiri ni "kuthubutu "
[emoji23][emoji23][emoji23]yeah utajiri ni uthubutu lakini pia ni utumwa...!!!!

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 

Ni kweli usemacho
 
Sawa unaweza kuwa sahihi kwa namna fulani, lakini je hayo ni maneno sahihi ya kusema mbele ya kadamnasi na mtu mwenye ushawishi kama yeye humu JF?

Sasa swali lako sasa limejikita katika maadili.

Sijajua sheria nchi, hususani za JF zinasemaje na ama zinakataza Mambo kama haya kufanywa na JF member maarufu Kama Mshana Jr.

Hilo linahitaji mjadala tena.

Lakini kuna msemo unasema "To be rich you have to break the rules", Yaani ili ufanikiwe/ uwe tajiri ni lazima uvunje kanuni
 
Utajiri upo mkubwa tu we fanya mila za kwenu muombe Mungu na mizimu yako ikupe mali wala hakuna garama maziwa na pombe au kondoo
upo mle mle nyie warombo mnachinja sana mambuzi #mamseri nyie ni warombo busara ungeniuliza taratibu za kuachana na mambo ya kimila kabisa kuchinja chinja mambuzi upo utaratibu wake na mizimu yako itakuogopakabisa mbinu ambayo hutumika kuvunja mikataba hata kwa wale waliosaini na shetani
 
Nilivyifungua Uzi kwa mbwembwe nikijua nitapata jibu la kichwa Cha habari Sasa..mweeh🙄
 
Unahitaji utajiri wa fasta? pitia hapa.

title na maelezo yako ni tofauti kabisa, nilitegemea ungekuja na hizo mbinu(connection) za kupata huo utajiri ila umeishia kupiga porojo tu.
...Na Mimi ndicho nilichofikiri, Comrade Kitombise.
Nilifungua Uzi haraka haraka nikijua nitakuta madata ya kuniwezesha kupata Utajiri....ili angalau Krisimasi na New Year yangu I we njema[emoji16]
Nakutana na Maelezo kibaooo ambayo hayaniambia chochote cha jinsi ya kupata Utajiri fasts!
Kichwa cha habari cha post kinafaa kurekebishwa !!!
 
Boss nilimiss post zako kila nikiingia huku lzm nikuserch
Naomba kujua ili
1-:uitwe tajiri unatakiwa kumiliki fedha kiasi gani
2-:Ni nini kipimo cha umaskini
 
Ila inauma! Unakuta mtu amekaa viti virefu akipiga beer huku ameshika tama! Anafikiria namna ya kwenda kwenye chumba kilichotengwa ili kulisha watu pumba. Utajiri ni "kuthubutu "
Nimecheka sana huu uzi una mambo
 
kabisa kinafaa kubadilishwa
 
Boss nilimiss post zako kila nikiingia huku lzm nikuserch
Naomba kujua ili
1-:uitwe tajiri unatakiwa kumiliki fedha kiasi gani
2-:Ni nini kipimo cha umaskini
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Ili uitwe tajiri basi ni lazima uwe na pesa ya ziada ya kutosha ya kufanya mengine utakayo baada ya kuwa na uwezo wa kujihudumia matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima
Utajiri una viwango kuanzia vidogo mpaka vikubwa
Kuna utajiri ngazi ya familia
Kuna utajiri ngazi ya ukoo
Kuna utajiri ngazi ya kijiji tarafa, wilaya,mkoa Taifa mpaka kimataifa...

Ili uitwe maskini ....sahihi zaidi ni fukara maana yake ni ile hali ya kukosa hata hela ya kujihudumia mahitaji ya msingi...ufukara(umaskini) nao una viwango vyake

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Sana boss nashukuru kwa majibu yako mazuri nimejifunza kitu
 

Mi ndo nafanya mikakati natakiwa nipate pete itakayo fanya biashara zangu ziende alafu na wale wa vijicho niwadhibiti....ngoma zikikaa sawa nitaleta mrejesho...sitanii
 
Asa umetuita kufanyani? Wazee wengine bhana sijui wakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…