Tatizo ni K. Vant tu mkuu 😂😂😂Kiongozi, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele, boljoint, tyrod nk, nimepiga wheel balancing/ alignment lakini bado tatizo lipo, je yaweza kuwa nini?
Nenda lumumba vijana wa pale wanazo. Atakuwekea chapNi gharama sana, mi Mwenyewe nilikuwa natafuta ruber ya hiyo Wiper ya nyuma ya runx ila nazo madukani nimetafuta sijapata
75000 kila shock up moja complete ikiwa na spring zakeHabari mkuu,
Natafuta shockup za mbele na nyuma pamoja na spring zake za Toyota Spacio old model.
Bei ikoje?
Meno mangapi?CV joint ya Nissan bluebird sylph naomba bei chief
Hiyo taa ya kwenye buti 75,000Taa ya nyuma ya brevis bei gani ile ya kwenye buti pamoja na ile ya indicator
Taratibu za kupata zikojeHiyo taa ya kwenye buti 75,000
Na ile ya kwenye body laki moja
130,000/=Nahitaji odometer ya ist Bei gani?
Mawasiliano: 0658124554Taratibu za kupata zikoje
Taa 340,000/=taa ya mbele ya ist yenye buster, na bampa la fog kila kimoja ni sh.ngapi
Fogo 100,000/= kwa mojanahitaji fog light za Nisssan xtrail 2008 NT31
Taa 340,000/=
Bampa 480,000/=
Sawa mkuu nicheki tu pm yangu iko waziNina inshu PM naweza kukuona mkuu?