GP Company Limited
Member
- Mar 15, 2025
- 58
- 71
Demu MkaliUnahitaji nini kutoa South Africa?
Gari gani?Gari
Kama dhamani ni ndogo lakini.Unatutumia zawadi?
Hapo ulipo hakuna mademu?Demu Mkali
Una provide mtu anachotaka au una fanya usahili? Unadhani kuna nini watu wanachotaka huko na huku hamna?Hapo ulipo hakuna mademu?
ya mwaka Gani?Mazda demio
Vingi sana,wewe unataka nini usema unahitaji nini, hata bure usione aibu sema nakutumia.Una provide mtu anachotaka au una fanya usahili? Unadhani kuna nini watu wanachotaka huko na huku hamna?
Magwaragwara Bafwetu.Unahitaji nini kutoa South Africa?
Naomba lotion au mafuta wanayopaka wadada wa huko bondeni, make wana rangi flani ya maana sana......Kama dhamani ni ndogo lakini.
Nitumie demu mkali wa KizuluVingi sana,wewe unataka nini usema unahitaji nini, hata bure usione aibu sema nakutumia.
Umkabidhi kisima cha mafuta ya magari.Hakika kila mwana JF atakuita shemela.Demu Mkali
Asante! mwingine aongezee kwenye hii list.Orodhesha vitu kama TV , microwave, pikipiki, friji, magari kama Toyota pickup, fortuner, cross, BMW , washing machine, outboard machines, tents, trekta, horse za scania, N.B used za SA ni Bora Sana kuliko used za ulaya na imara Sana kwa ufupi SA kuna vitu vingi vya kufikisha bongo ambavyo ni high quality na viwe na document zote , visiwe vya wizi na kwa sasa vitu vidogovidogo Pana kampuni ya basi ya Classic Dar to south so NI wiki moja umepata mzigo wako , kikubwa uhakikishe haumtumii pesa mtu usiemfahamu au usifanye malipo kabla ya bidhaa
Wale ni khoisans aka hottetonts.Ni rangi zao za asili.Wewe kula mapanki kwa wingi hadi uwe cheupe-dawa.Naomba lotion au mafuta wanayopaka wadada wa huko bondeni, make wana rangi flani ya maana sana......
Adress yangu nakupm jina uandike Eve