Unahitaji mke/mume toka Rwanda & Congo DRC

Unahitaji mke/mume toka Rwanda & Congo DRC

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,803
Reaction score
3,856
Wadau connections international ltd. Imezidi kukua na sasa tumefungua ofisi Kigali, Rwanda na Kinshasa, Congo DRC.
Ukiwa na hitaji lililotajwa hapo juu.

Tuma wasifu wako kwa kuni-PM utapewa maelekezo zaidi.
 
Mm ni mwanamke miaka yangu 42,naishi Tanzania ni mnene,maji ya kunde,nina mtoto mmoja na ni mwajiriwa serikarin.Mbaya zaidi ninaishi na virus vya ukimwi,nahitaji mwanaume umri kuanzia, 45-58 anayeishi na virusi vya ukimwi ambaye pia ameajiriwa au anashughuri za kumwingizia kipato?
 
Dada timaso swala lako tumelipokea na tunalifanyia kazi, ingawa waliopo sasa ni watatu na wote wapo Kenya (wanaishi na kufanya kazi huko). kama upo serious nikupatie mawasiliano yao
 
kaka hakuna gharama kwenye hiyo kazi unayofanya? maana we unadai unatafutia watu wachumba tu, mmmh....
 
...ungewawekea sample ya hizo bidhaa hai wapate picha halisi...
 
mmh wakenya si watu aisee, tena wanawake wao hawachelewi kukupiga mitama hasa wale kutoka pane za nyeri
 
Wadau connections international ltd. Imezidi kukua na sasa tumefungua ofisi Kigali, Rwanda na Kinshasa, Congo DRC.
Ukiwa na hitaji lililotajwa hapo juu.

Tuma wasifu wako kwa kuni-PM utapewa maelekezo zaidi.

Nyie ni pimps???
 
duuh wabongo kwa ubunifu mmetisha aisee yaani mnaunganisha watu waka.ti.ane? mnapata nini sasa nyie?
 
Wadada zetu chonde chonde, nasikia wakongo ndo wanaongoza kwa mipini mirefu Afrika
 
kuuziwa mbuzi kwenye gunia.... tukakutane na bibi zetu uko!!! wekeni picha zao humu
 
nazidi kuamini japo sijafika mwisho "kwamba kila mtanzania anavijichembe vya kifisadi "
 
Hmmmmm! lol! shurti kwa picha....Na Watanzania katika Afrika ya Mashariki na kati walisifiwa kwamba "wanajua mapenzi" hivyo hii ni bahati ya mtende kwa Wanawake wa kutoka huko kuweza kumnasa njemba wa kibongo.

...ungewawekea sample ya hizo bidhaa hai wapate picha halisi...
 
natafuta mke toka congo.mimi nina urefu wa twiga,ninaumbo la mapanya road,uso wa punda,miguu ya kanga na pia nina umri wa kobe na ninaishi maisha ya kuku.nisaidie ndugu yangu,kwa kunipm
 
Back
Top Bottom