Najaribu kuwaza, kama una huu ujuzi wote, kwa nini usikusanye kusanye mabati na kutengeneza mashine yoyote inayohitajika kwa jamii?Mashine aina zote nicheki 0756704145, wewe una mashine zipi
Unaweza kutengeneza mashine ya kupasua mawe na kuwa kokoto?Wazo zuri, nipo nafikiria bado...nipe wazo kama unalo?
Zinahitajika sana, au wewe una wazo gani?Ndio naweza kutengeneza
Sehemu yoyote yenye miamba, gharama za kutengeneza zikoje, iwe ya umeme,petrol au diesel?Mimi Sina wazo lolote, zinahitajika sana kwa hapa dar es salaam? Au mikoani.... Unazungumza zipi zinazotumia umeme au mafuta ya petrol au diesel?