Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Habari zenu wana JF ,Ni mimi mwenyewe nilfanya huu utafiti, ilikuwa mwaka 1994 nilikuwa na kitambi kidogo na nilikuwa nakunywa beer 3 karibu kila siku kwa kweli kiliongezeka.
Nakumbuka niliacha kwa muda wa week 3 kikaanza kuisha kabisa
Niliporudia tena nacho kikaanza tena mwaka jana mwanzoni niliacha pombe tena kikapungua kwa haraka mno ndani ya week 4 ,.week mbili zilizopita nimeanza kunywa tena naona kinaanza kuja tena.
Kwa hiyo kama unataka kitambi cha wastani piga beer zako 3 au mbili kwa siku .na kama unataka upungue acha beer na Soda na mikate white bread, sembe na wali kwani vikiingia tumboni vinakuwa starch na starch inakuwa sukari na sukari ikizidi inakuwa mafuta.
Huo ni ushuhuda wakuu zangu