Unahitaji kijana wa kazi?

Unahitaji kijana wa kazi?

Monetary

Senior Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
151
Reaction score
99
Habari zenu kama kuna mtu anahitaji kijana wa kazi anijuze, kuna kijana anahitaji kazi namfahamu kwa undani yuko vizuri upande wa nidhamu ma kila kitu.

Anahitaji kazi kwa sasa mshahara usipungue 60, apewe malazi na chakula, yupo Kagera anayehitaji anijuze.yupo tayari kwenda mkoa wowote
 
Habari zenu kama kuna mtu anahitaji kijana wa kazi anijuze, kuna kijana anahitaji kazi namfahamu kwa undani yuko vizuri upande wa nidhamu ma kila kitu, anahitaji kazi kwa sasa mshahara usipungue 60, apewe maladhi na chakula, yupo kagera anayehitaji anijuze.yupo tayari kwenda mkoa wowote

...ya wapi?
 
Kagera ya kanda ya ziwa. Au Bukoba kwa kina Muganyizi Rwegashora Kamugisha..........
 
Huyo kijana ni wa dini gani..???Kwani nahitaji wa kunisaidia kwenye mifugo Nguruwe.
 
Mkilizwa msije kulia lia hapa.

Maana najua hapo lazima jamaa ale kichwa. Atakuomba utume nauli aje,ukishatuma tu namba haipatikani hadi kesho.
 
Back
Top Bottom