Hamza gugo
Member
- Oct 20, 2019
- 12
- 3
Wanaojua kuhusu hi kozi ya food science and technology kwa diploma ukimaliza unaweza kuomba degree baada ya kumaliza diploma na kwa GPA ya ngapi kuomba kwenda degree ya hii kozi?
G.P.A ya 3.5 UDSMWanaojua kuhusu hi kozi ya food science and technology kwa diploma ukimaliza unaweza kuomba degree baada ya kumaliza diploma na kwa GPA ya ngapi kuomba kwenda degree ya hii kozi?
G.P.A ya 3.5 UDSM
Upo sahihi kwenye GPA ila hauko ''precise''.GPA 3 chuo SUA.
Wanaojua kuhusu hi kozi ya food science and technology kwa diploma ukimaliza unaweza kuomba degree baada ya kumaliza diploma na kwa GPA ya ngapi kuomba kwenda degree ya hii kozi?
. Diploma ya food science and technology inatolewa MUST ambako nimechaguliwa na DIT ndio na jua koz hii kwa diploma inapotolewaDiploma hii ya food science inatolewa wapi mkuu kama hautojali ?
. Diploma ya food science and technology inatolewa MUST ambako nimechaguliwa na DIT ndio na jua koz hii kwa diploma inapotolewa
xaw worry out xalamu ztafkaaa km zoteeSawa sawa, wasalimie sana Ikuti, Iyunga na TAZARA kama utaenda MUST
xaw worry out xalamu ztafkaaa km zoteeSawa sawa, wasalimie sana Ikuti, Iyunga na TAZARA kama utaenda MUST