Unahitaji Coaster Used? Njoo Kwa Tukushauri

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,195
1,661
Stop over auto parts, wataalam wa kuuza spares za Coaster aina zote na magari aina ya Coaster used,tumekuwa tukiwasaidia wanunuzi wa Coaster Used mambo muhimu ya kujua kabla hujanunua Coaster used. Mambo hayo ni pamoja na kukagua gari ukiwa na fundi mzoefu uliyenaye au ukitaka tutumie mafundi wetu. Tumeandaa group maalum whatsapp la kukuelimisha kitu kimoja kimoja cha kukagua na kujiridhisha kabla hujafanya maamuzi. Pia utaona picha na bei za magari used yaliyopo mwezi huu.

Cha kuvutia ni kwamba magari haya ni ya wateja wetu wa spares walofikia malengo, na kuziweka sokoni gari zao ili waagize matoleo mapya.

Tuko Kimara Stop Ove. Ukitaka kuziona Kimara ni asubuh kabla hazijatoka au usiku zikirudi. Pia waweza kuziona mchana kwenye ruti zake.

Bofya link kwa tangazo ili kujiunga group hili, au piga simu 0713 039 875

coaster.png
 
Back
Top Bottom