Unahisi jamaa aliamini mtoto ni albino?


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000


Ikikutokea wewe utaamuaje? Je utamkubali mtoto au kumkataa mtoto?
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,834
Points
1,225
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,834 1,225
Itabidi ushukuru mungu tu, mungu ndo mpangaji wa hayo.
 
M

MgungaMiba

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2011
Messages
946
Points
500
M

MgungaMiba

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2011
946 500
Kama ni Albino kweli, hakuna tatizo, ni kawaida, lakini kama Mzungu, aisee, hata DNA ikinithibitishia bado utata!
 
Enny

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
978
Points
225
Enny

Enny

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
978 225
Kama ni Albino kweli, hakuna tatizo, ni kawaida, lakini kama Mzungu, aisee, hata DNA ikinithibitishia bado utata!
kama mzungu ni bahati zaidi kuwa na mzungu kwenye ukoo wao
 
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,664
Points
2,000
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,664 2,000
akiwa albino unamshukuru Mungu maisha yanasonga.....asijekuwa Bushoke patachimbika
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
6,019
Points
2,000
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
6,019 2,000
Picha zingine bwana,ukiangalia shingo ya huyo dada na hilo gauni la hospitali na hiyo miguu mmmh! Ujumbe umefika!
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,105
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,105 2,000
huyu jamaa anadhani mkewe ana mashine ya photocopy huko chini?
 

Forum statistics

Threads 1,295,846
Members 498,410
Posts 31,225,193
Top