Unahisi itakuwa mkoa gani?

Unahisi itakuwa mkoa gani?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Hii bei bora nisifunge tu
 

Attachments

  • 1435342672768.jpg
    1435342672768.jpg
    14.9 KB · Views: 1,105
Hiyo nazi ya 1600 ndani ina king'amuzi ama?Otherwise sinunui ase....pyeeeeeeeeee
 
Hiyo ndio mikoa gani Tanzania? Wengine mnafeli mitihani kwa sababu hamsomi maswali vizuri.

Vv

Inachekesha pale anayejiona anajua anapodhihirika kuwa hajui

muulizwa swali simply kauliza "mkoa"...wengine wametoa majina ya "mikoa" kwa mujibu wa "serikali" wengine "tanesco" wengine "dawasco" na wengine "police"...don't let the only tafsiri ya mkoa you know be the absolute answer pal!!!!
 
To be exact huu unaweza kuwa mkoa wowote maana sidhani kama kuna mkoa ambao utakosa idadi ya nazi 1600
 
Uliza bei usiogope 1 600 maana yake nazi moja sh mia6....
 
Back
Top Bottom