Mwanaume anayetelekeza nyumba yake thats another case, hio ni mental case its beyond ubinafsi. Cha msingi ni wote kuwork as a team na kushirikiana katika mambo yote ambayo yatawapa amani.You are talking as though hakuna wanaume wabinafsi!??? Ni mara ngapi wanaume wanawatelekeza wake zao!??? Wanawanyima haki zao --- elimu, fursa za biashara, nafasi za kazi, nk. Hapa hata sijazungumzia bahari nyumba ndogo!!!
Kimsingi unasema kwamba sasa ni wakato mwafaka jamii ione imepoteza fursa nzuri ya kujenga jamii bora kwa sababu kwa wengi God is out of question. Ubinafsi ni ugonjwa hatari sana na unaotibiwa na Dokta mmoja tu kutoka anga za juu huko.
Nimefurahia hapo pa investment & enterprise na kutokujua la kufanya ndoani. Huo ni ujinga kama ujinga mwengine tu!Both-side problem. When people get married bila kujua wanaenda kufanya nini ndoani, ndiyo madhara hayo. Mara nyingi ni watu ambao wanatanguliza maslahi, wanafanya ndoa ni one of the investements & business enterprise.
..and there is no perfect man on this planet without a woman, Mungu mwenyewe aliona adamu hawezi kuishi peke yake akamletea msaidizi ambaye ni mwanamke!...Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
..and there is no perfect man on this planet without a woman, Mungu mwenyewe aliona adamu hawezi kuishi peke yake akamletea msaidizi ambaye ni mwanamke!...
Huenda ila nafikiri tabia zinajengwa kupitia malezi bora. If both parents act irresponsibly tunatengeneza kizazi kibovu mno. Na hii biashara ya haki sawa ndo kabisa imekuja vuruga zile roles za mtoto wa kiume na kike katika jamii na familia.Kimsingi unasema kwamba sasa ni wakato mwafaka jamii ione imepoteza fursa nzuri ya kujenga jamii bora kwa sababu kwa wengi God is out of question. Ubinafsi ni ugonjwa hatari sana na unaotibiwa na Dokta mmoja tu kutoka anga za juu huko.
Mwanaume akiacha kujiona babe badala yake akawa baba, familia inakuwaga shwari. Sasa mtu anakuwa na power zote hizo halafu mshari, babe, mke humsikilizi, mbona ndoa utaiona chungu maana kisaikolojia mke anakuwa na akili zaidi kuliko mke japo to a great extent emotions ndizo zinadamp intelligence yao. Sasa anatumia akili yake kutibua ubabe wako.Mwanaume anayetelekeza nyumba yake thats another case, hio ni mental case its beyond ubinafsi. Cha msingi ni wote kuwork as a team na kushirikiana katika mambo yote ambayo yatawapa amani.
If God is removed from our daily transactions, asipokuwa muhimu maishani, who even cares about good or bad morals!???Huenda ila nafikiri tabia zinajengwa kupitia malezi bora. If both parents act irresponsibly tunatengeneza kizazi kibovu mno. Na hii biashara ya haki sawa ndo kabisa imekuja vuruga zile roles za mtoto wa kiume na kike katika jamii na familia.
Ubinafsi unaanzia utotoni ukiona wewe ni wa kutaka mazuri yote yaje upande wako ujue tu una shida tayari.
Mwanaume akiacha kujiona babe badala yake akawa baba, familia inakuwaga shwari. Sasa mtu anakuwa na power zote hizo halafu mshari, babe, mke humsikilizi, mbona ndoa utaiona changu maana kisaikolojia mke anakuwa na akili zaidi kuliko mke japo to a great extent emotions ndizo zinadamp intelligence yao.
God should be in part of our lives but asitumiwe vibaya kwenya kutafuta excuse za irresponsible behaviours.If God is removed from our daily transactions, asipokuwa muhimu maishani, who even cares about good or bad morals!???
How??? Kwa sababu irresponsibility haishabihiani katu na nature ya MunguGod should be in part of our lives but asitumiwe vibaya kwenya kutafuta excuse za irresponsible behaviours.
Taasisi inabidi iwe na kanuni bora ili iwe endelevu yenye tija, au siyo!???Ndoa ni taasisi.....
Huo ndiyo ukweli bibie. Jaribu tu kufanya utafiti japo kidogo, utaliona hili, humo wanaingia mpaka wale wanao pigia chapuo jambo hilo.[emoji3][emoji3][emoji3].."Matumizi mabaya ya Akili."
Nadhani Swali lako hutopata majibu ya uhakika na ya moja kwa moja. Kwanza tunatakiwa kutambua. Utafauti wa ndoa za mababu na bibi zetu zilikua na hadhi na za kudumu. Wazee wetu na ma bibi zetu walikua wanaoana kimaesha. Kufa na kuzikana. Tafauti na Ndoa za ziku hizi zimeghubikwa na vishawishi na tamaa nyingi. Siku hizi Yoyote anae amua kufunga "pingu za maesha" jicho lake limefwata "KITU" kwa mwenzake. Awe jinsia ya Kiume au jinsia ya Kike. inawezekana ameamua kuoa kwa ajli ya sura nzuri au utanashati. inawezekana amefwata Utajiri wa mwenzake au wafamilia ya mwenzake. inawezekana ameamua kufunga Ndoa kwa kua amechoka kuenshi maesha ya kundanga danga... au maesha ya ubachela na upwekwe "Anaamua kutulia na MMOJA" . Kwa uhakika Ndoa ni ufunguo wa maesha wa hapa Duniani na Akhera au "Mbinguni" Ndoa ni kipimo muhimu cha kutafautisha baina "Ujana" na "Utu uzim". Kuepo ndani ya Ndoa ni fahari ya maesha na sitara ya kujizoeleaJe mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?
Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?
Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?
Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.
Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?
I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.
What do you guys think?
N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
Mwanamke anafata kuliwa on a daily basis...
Ukioa mwanamke anaekupenda hawezi kukuwekea limitations kwenye kula mzigo amini nakwambia, ila ukioa mwanamke asiekupenda utawekewa limitations kwenye kula mzigoHicho ulichoandika ni kitu cha ziada sana. Ndoa siyo kugonoka tu ndiyo maana utakuta mtu yupo Dar lkn anafanya kazi Dodoma. Mwanamke anahitaji ale, avae n.k mtoto wa watu alale njaa halafu mpande kiunoni uone kama atakupa mzigo.
Babe mi nataka hela.Tatizo binadamu ni kiumbe asiyeeleweka anachotaka ni nini! Anapewa A anataka B, anapewa AB atakwambia anapenda Z. Complex creatures!