Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Exactly.
 
...unaposema "jinsia mbili kinzani" unamaanisha nini?
Mwanaume na Mwanamke,hakuna ndoa ya jinsia moja, huo ni upunguani na matumizi mabaya ya akili bali ni hila za wajinga na wazandiki.Mola wa Ulinwengu huu awalaani.
 
Mwanaume na Mwanamke,hakuna ndoa ya jinsia moja, huo ni upunguani na matumizi mabaya ya akili bali ni hila za wajinga na wazandiki.Mola wa Ulinwengu huu awalaani.
🀷
 
sijui chengine zaidi ya pesa ..unakuwa na mtu unafikiri hivi huyu ataweza kweli kuendeleza hhichi nachofanya au....au atanisindikiza mapema kaburini arithi na kuuza....au atakuharibu akili umkimbie na kumwachia...
 
Doooh...KWELI.kuna ndugu yangu kayumba kiuchumi...mke wake anayotufanyia...Mh
Mungu ndo anajua.
 
Mwanaume na Mwanamke,hakuna ndoa ya jinsia moja, huo ni upunguani na matumizi mabaya ya akili bali ni hila za wajinga na wazandiki.Mola wa Ulinwengu huu awalaani.
.."Matumizi mabaya ya Akili."
 
Umasikini wako usiniletee mimi hunijui,nipo kwenye ndoa kabla hujazaliwa na upunguze kimbelembele kurukia rukia watu hovyo.
Tuliza mzuka mtoto wa kiume. Huhitaji kuwa na hasira ili pointi yako ieleweke. Unaweza kutumia ustaarabu na ikawa smart kwako.
 
Nashukuru umeweza kudadavua kwa undani uhalisia wa mambo. Mi huwa nashauri bure tu kamwe tusikubali kuoa wake wabinafsi. Mpenzi wako akiwa mtu wa kudemand apewe tu bila yeye kutoa in the same manner huyo ni parasitic patner. Hafai maana siku ukiwa katika nafasi ambayo huwezi toa atakutesa. Tuepuke wapenzi wabinafsi.
 

M B O O
 
Both-side problem. When people get married bila kujua wanaenda kufanya nini ndoani, ndiyo madhara hayo. Mara nyingi ni watu ambao wanatanguliza maslahi, wanafanya ndoa ni one of the investements & business enterprise.
 
You are talking as though hakuna wanaume wabinafsi!??? Ni mara ngapi wanaume wanawatelekeza wake zao!??? Wanawanyima haki zao --- elimu, fursa za biashara, nafasi za kazi, nk. Hapa hata sijazungumzia bahari nyumba ndogo!!!
 
Yule mdada wa kuitwa Karma namuona amepanda boda Yuko mbio mbio kuja kupinga hichi ulicho andika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hupendelea kununua vitu kwa bei ya jumla kwakuwa bei inakuwa imepoa kidogo. Ukichambua hiyo sentensi kuna majibu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…