Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

Foundation ya social life ya mwanadamu imejengwa kwenye TRANSACTION mchezo wa NIPE NIKUPE, iwe urafiki wa kawaida ama muungano wa ndoa, urafiki successful ni ule ambao hakuna yeyote anayefeel kuwa burdened na huo urafiki/umoja, the same applies kwenye ndoa, iwe financial matters, emotional issues, biological issues, psychological issues, kila mtu ahakikishe anajitoa kwa kadri awezavyo bila kuhisi anakuwa exploited, pakishaanza kuwepo na sense ya exploitation, either financial au biological hapo Friction lazima iwepo, ile mtu kuhisi unafunjwa kibiologia,au unafujwa kipesa,hii feeling hua ipo KWA binadamu,huwa tunatabia ya kuhisi tunastahili kuliko uhalisia uliopo,deep down kila mmoja ni defensive,anadefend vya kwake,anadefend uhai wake,huo ndio uhalisi

Yote KWA yote peace ni STATE ya mind,muhusika mkuu wa kuregulate state ya mind ni mwenye mind,marriage iko na mind. Mbili,kila mind ina DO's zake na DONT's zake
Kazi kubwa ni kuzimerge hizi Do na DONT's za mind mbili kufika muafaka na kukubali madhaifu ya kila mmoja na kucelerebrate strength zenu pamoja,sio kazi rahisi ni kazi ngumu ambayo inaweza chukua maisha yako yote kurealize nini unatakiwa kufanya,bahati mbaya Sana wisdom inakuja uzeeni wakati physicality imeshakuwa dhaifu,Arrogance ya ujana ina changamoto zake

Maisha ni KUSHARE sio KUDEMAND na KUEXPLOIT
 

Naona Mzee target zako maeneo ya vyuo tu!
 
Wanawake wengi siku hizi wanaolewa ili kujibanza(asaidiwe maisha) na sio dyudyu kama baadhi wa wavulana wanavyosema humu.

Wanaume wa zamani walikuwa wanaoa ili afaidi utamu wa mbunye pasipo kuhangaika maana zamani kupata mbunye za kuchezea ilikuwa tabu sana.

Wanaume wa siku hizi wanasababu mbalimbali za kuoa:-
wengine wanahitaji wasaidizi wa shughuli ndogo ndogo kama kufua, kupika, n.k
wengine hasa wa vijijini kama Kigoma, wanaoa kisa umri umefika(miaka 18-20+)
 
Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.

Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
Upo sahihi kabisa, kwa msingi huo huwa tunakamilishana.
 
Umeamua leo kufukua makaburi, Kuna watu mood zimeshaharibika, sasa wana miaka kadhaa ndani ya ndoa na akili zimetulia ndio wamejua waliolewa kwa wrong reasons.
 
Umeamua Leo kufukua makaburi, Kuna watu mood zimeshaharibika, Sasa Wana miaka kadhaa ndani ya ndoa na akili zimetulia ndio wamejua waliolewa kwa wrong reasons.
Inawezekana....
 
Toa ujinga wako hapa na kingereza chako cha kuunga unga na super glue,
Usichukulie kila comment serious hapa JF.
Na hii pia naichukulia kuwa siyo serious, au siyo!!??? Unabeza English wakati wewe pia umekifinyanga??? Karibu tu mwaka 2021 maana 2020 haijawakalia sawa wengine.
 
Well-said. Mutual relationship inayoleta tija lazima kuwepo na innocent compromises kwa pande zote mbili. Ndiyo maana ya kuondoa ubinafsi na kukuza umoja wa upendo & commitment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…