Unafuata nini kwa mwanaume unapoolewa?

F = Fortitude. Ajue kuvumilia magumu, yaani mipando & miteremko ya maisha

G = Genius. Awe intelligent, elegant, smart, brain-brave, free brain (not brain-free)

Unaona sasa!

Sifa ndio hizi hizi.

Ila kuzipata ZOTE kwa mtu mmoja ni mtihani Sana.
 
Ni kweli lakini haiwezekani kumpata kabisa yule mwenye vigezo vyote unavyovitaka labda uumbe mwenyewe. Ukitaka kulijua hilo angalia hata Viongozi wetu wakubwa utakuta ana mke mzuri lakini bado akiwa jukwaani anawasifia wanawake wengine kuwa ni wazuri na angeweza kuwaoa, sasa unajiuliza alishindwa nini kuwaoa hao anawasifia???. Inawezekana bado hujaingia kwenye ndoa ndio maana unasema hivyo, lakini siku ukiingia kwenye ndoa utanielewa tu.
 
Unaona sasa!

Sifa ndio hizi hizi.

Ila kuzipata ZOTE kwa mtu mmoja ni mtihani Sana.
Inategemea na mindset ya mtazamaji. Michelangelo (mchongaji msanifu mashuhuri Italy) alisema, Ukiona kipande cha gogo kama kilivyo hutadhani kinaweza kutokea kinyago kitakachouvutia & kuushangaza ulimwengu. Lazima uwe na jicho penyevu linalotazama beyond surface appearance & superficiality --- hadi kumtima.
 
Miaka 19 ya ndoa hapa. Chuo kimoja na mpango wa kuhama ama kuacha chuo haupo muhenga Mie! Loh
 
We mpuuzi unataka mrefu muumbe wakwako kima we.
ha ha haa

Ukiwa Dar, tembea kwa miguu toka Ocean Road Hospital, pita IFM na wizara ya afya. Ukifika Imalaseko Supermarket nijulishe umeona warefu wangapi? Hiyo ni cluster Moja hapo Dar. Bado Kule Mlimani, Mabibo Hostel...njoo mikoani huku Mwanza, Arusha etc etc etc


Acha uvivu Legendary
 
Kumsifia mwingine siyo ishara ya kutomkubali mkewe. Inaweza kuwa kajifunza kumsifia wake hadi anaona reflection za sifa za mkewe kwa wengine na anashindwa uvumilivu. Wasingekuwa wanasifia ndipo ningekuwa na mashaka na ndoa zao.
 
Kubagua watu kwa misingi ya maumbile ni makosa unless unaweza kumuumba binadamu wako mwenyewe. Mimi ni mrefu ila kamwe I won't despise short people.
ha ha haa

Ikiwa Dar, tembea kwa miguu toka Ocean Road Hospital, pita IFM na wizara ya afya. Ukifika Imalaseko Supermarket nijulishe umeona warefu wangapi?

Acha uvivu Legendary
 
Kubagua watu kwa misingi ya maumbile ni makosa unless unaweza kumuumba binadamu wako mwenyewe. Mimi ni mrefu ila kamwe I won't despise short people.

Binadamu asili yao ni ubaguzi, uchoyo, ubinafsi, kutokusamehe, chuki etc etc etc. Bila shaka unaona Dini zote zina-promote ushirikiano, upendo, msamaha etc.

Halafu imperfect mimi sio mbaguzi kihivyo.
 
Binadamu asili yao ni ubaguzi, uchoyo, ubinafsi, kutokusamehe, chuki etc etc etc. Bila shaka unaona Dini zote zina-promote ushirikiano, upendo, msamaha etc.

Halafu imperfect mimi sio mbaguzi kihivyo.
So tunahitaji mabadiliko makubwa sana kiwango cha mifugale ya Ubungo Interchange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…