IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,764
- 7,135
sasa unafki wake ni nini...?
mi nadhani wanafki ni wale waliomgeuka slaa.... na kusema lowassa si fisadi ...
Sasa mnalalama nini Kama kafulila alifanya vitu wananchi si wangemchagua.kama vipi kafulila agombee kongwa
Lakini sidhani kama Zitto amefanya kosa nyinyi si mlimfukuza chadema kwanini mnataka afuate sera zenu wakati yeye siyo mwana ukawa anajua alichotumwa na wananchi wake, kitendo cha wabunge wa upinzani kuzomea ni cha kijinga sana na kwa mtu anayeshabikia hili naye ni hovyo kabisa.Huyu jamaa ni mnafiki kiwango cha juu kabisa anatafuta huruma ya ccm
Hawa sio aina ya viongozi tunaowataka wako radhi tutimiza matakwa yao na kuacha matakwa ya watz
Swala la znz sio la kulifumbia macho kabisa ni lazima watz tukatae huu ufinyangwaji wa katiba
Watu wanafuta uchaguzi bila sababu ya msingi leo mnakuja wasifu kuwa wanademokrasia huu ni ujinga
Huyu ni Zitto Zuberi Mrema. Kuwepo kwake pale ni kuonyesha anamuunga mkono Shein kama Rais wa SMZ tofauti na zile kauli zake za awali