Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

Wanawake mkuu sio wenzetu ila tunaishi nao tu!......ukipata ambaye anajielewa unaweza kuifanya dunia kua sehemu ya starehe/peponi kabisa.

Ila balaa huja Kama ukipata lijanake tu Bora mwanamke duuh aisee dunia inaweza kua kuzimu ndogo na ukatamani hata usingekuwepo.

Katika yote hao ndio wazazi akina baba Ni walezi hivyo tushukuru kua tupo leo because of our mothers!
Nimependa apo mwisho ulivyomalizia
 
Habari za mda huu wanaJf

Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji)
Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali)

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba

1.wapole

2.wanaakili za maisha

3.wengi wao ni umri (25_35)

4.wengi wameolewa

5.sio wambea kivile

6.hawatongozwi kiraisi😂

7.wengi wa dar es salaam

8.huwai kupika mapemaa

9.warembo kinoma

10.walezi wazuri wa familia

11.hawapendi hela kivile😂

12.upendo wa dhati

13.aaaaa ongezea na wewe uwafikiriavyo👇👇
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
 
14. Most women in here JF are single mothers.
15. Most women in here JF are so desperate, stressed and depressed( wamekata tamaa, wenye msongo wa mawazo na wenye huzuni)
16. Most women in JF are loose-women( Hawajui kumkataa mwanaume)
MUNGU awajalie apo walipo wavuke salama🙏
 
Mimi ni muumini mzuri wa law of attraction. Unapata kilichomo kwenye fikra, imani, falsafa na misimamo yako...na ulivyo wewe ni upande mmoja wa shilingi unaokamilishana na upande mwingine...

Kwa hivyo:

Unapata unachokitafuta na ambacho roho yako na fikra zako zimekuaminisha kuwa ndicho unachokihitaji na kustahili.

Ukitaka rafiki utapata rafiki...na huu ni msingi mzuri ambao juuye mambo mengine (mf. mapenzi) yanaweza kujengwa...na yakadumu...

Sasa wewe ni baharia na unatafuta mwenzio wa kuzini naye; tena bila msingi wo wote, ukiangukia kwa mdangaji kweli una haki ya kulalamika? Si umepata ulichokuwa unakitafuta?

Wapo mabinti hapa wenye sifa njema sana - wasomi, wanaojielewa, warembo, huru na marafiki wema mno. Inategemea tu na wewe unatafuta nini....na ukitafutacho kwa imani na roho ndicho ukipatacho...

Mwanakulitafuta Mwanakulipata
 
Back
Top Bottom