Unafikiri sifa kuwa na kitambi!!

Unafikiri sifa kuwa na kitambi!!

mmmh! Umeacha lini? Hakuna cha baa kufungwa, una mlaghai kweli kweli hadi anaondoka before ya mda wa kutoka
mi simo ila hawa wengine umepatia kweli kweli, wengine walishaacha hizo tabia za kukesha kusubiri baa ifungwe aondoke na baa medi inachosha Mtambuzi unakumbuka enzi za meeeeeeeeeeeda
 
Wewe acha kutuumbua bana kitambi ni dalili ya kuwa na fedha

wewe kweli mweu, kitambi tangu lin kikawa dalili ya fedha?? wabongo kazi sana, yaani kujilia mavyakula ya ovyoovyo tu, kitambi kishindwe kuja??
kwa ushauri kwa wale wote wenye vitambi.
1. cutt down all fat foods.
2. reduce the feed
3. include fruits and vegies in ur all meals
4.cardio workouts will help u to cutt down belly fats
5.drinking alot of water, hot water, warm water will help to increase ur body metabolism.
think it will help u to burn ur belly fats.
 
Ahaahaaaaa Kitambi cha mchuzi meeeen kwa wanawake kinachosabisha kitambi ni hayo manjia ya uzazi wa mpango unakuta mtu hajazaa lakini mtumbo huo na kufakamia vyakula baada ya kujifungua bila kufanya mazoezi na kwa wale wanywa bia ndo noma zaidi kwa wakina baba siyo vitambi ni viliba tumbo. Erickb52

Mwanamke akiwa na tumbo anapoteza mvuto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom