Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,354
Reaction score
23,760
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉
Screenshot_20250520-222050_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Ambae hayupo kwenye madaraka anaona vema hatma ya utawala wako kuliko wewe uliemadarakani au uliekalia kiti!!
 
Wewe uko juu ya mti unazidiwa na Wassira aliyejikalia Chini ya mti 😁😁
Mimi ni Sawa na kichuguu na Mheshimiwa Stephen Wasira ni sawa na Mlima Kilimanjaro kwa maarifa na kila kitu. Mimi si kitu wala chochote kwa Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wangu CCM Taifa. Mimi ni kinda kwake.. naendelea kujifunza mengi kutoka kwake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.

Huu hapa ujumbe wenyewe

👉View attachment 3340406

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Gaidi la bao la mkono hilo
 
Y

Eti Yeye anatosha kuwa rais
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom