chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Hivi mbona hakuna vijana around miaka 20s' to 30s'
Mizee mibinafsi sanaa
Mizee mibinafsi sanaa
Ha ha ha mi niltaka kusema tofauti... Nilitaka kusema anapenda mashuga bibiWewe lazima utakuwa na umri mkubwa sana.
kijana, nchi haiendeshwi hivyo. pata ushauri kwa waliokutangulia, unaumiza wananchi, unafaidika nini? angalia chama nilikukabidhi kimesimama, usije kukichinjia baharini.pia, huyo kagame unayejipendekeza kwako haumjui, mwenzio nilifundisha chuo cha kijeshi hayo mambo nayajua, wewe umeenda tu jkt na unavaa magwanda wakati mimi nimefundisha chuo cha kijeshi sijavaa gwanda....angalia sasa M23 wamesharudi congo, pengine wamekudharau, uwe makini na utunze heshima ya Tanzania.
kesi ya Escrow imalize haraka
Watu mna maneno..kijana, nchi haiendeshwi hivyo. pata ushauri kwa waliokutangulia, unaumiza wananchi, unafaidika nini? angalia chama nilikukabidhi kimesimama, usije kukichinjia baharini.pia, huyo kagame unayejipendekeza kwako haumjui, mwenzio nilifundisha chuo cha kijeshi hayo mambo nayajua, wewe umeenda tu jkt na unavaa magwanda wakati mimi nimefundisha chuo cha kijeshi sijavaa gwanda....angalia sasa M23 wamesharudi congo, pengine wamekudharau, uwe makini na utunze heshima ya Tanzania.
Ha ha ha haHuyo ni Bibi wa Miaka 83 anaitwa Mama Sitti Mwinyi Mke wa Mzee Ally Hassan Mwinyi na First Lady 1985-1995! Imagine alipokuwa na 25 age alikuaje?
Huyu ndie Mama Mzazi wa Waziri wetu wa Ulinzi Hussein Mwinyi na Mbunge wa Fuoni Abdallah Mwinyi