Unafikiri JK anamuambia nini hapa?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
IMGS1144.jpg
 
Maneno ya jk ni kama hayamwingii, ni sawa na kuongea na mtu ambae humtaki, jpm ni kama anatamani amwambie "ongea chapchap nina kikao nataka kuwahi;.
 
Fanya yote ila usiguse zile......zangu........hujanionea........zangu nilizisahau pale shelfu za siri.
 
Huyo mrembo hapo karibu na mama makinda ni nani??
Amenoga na hizo rangi alizovaa zimemkaa barabara.
Kweli wakubwa wanafaidi.....
 
Usichekecheke na hao CHADEMA na UKAWA kwa ujumla,mie nilicheka nao karibu wanitoe ndani ya nyumba na kunifurumishia virago nje na hatari zaidi wana watu wao hata ndani yetu .,si unajua sisi thithiem tulivyo???ni wanafiki sana sisi!!!
 
Huyu kijana pia anataka kumezea uchaguzi huko kwao mwakani kaona Kurunzinza katualia kitini
 
Huyo mrembo hapo karibu na mama makinda ni nani??
Amenoga na hizo rangi alizovaa zimemkaa barabara.
Kweli wakubwa wanafaidi.....

Huyo ni Bibi wa Miaka 83 anaitwa Mama Sitti Mwinyi Mke wa Mzee Ally Hassan Mwinyi na First Lady 1985-1995! Imagine alipokuwa na 25 age alikuaje?

Huyu ndie Mama Mzazi wa Waziri wetu wa Ulinzi Hussein Mwinyi na Mbunge wa Fuoni Abdallah Mwinyi
 
Back
Top Bottom