estony
Member
- Jun 26, 2015
- 95
- 19
Trump akiwa katika kampeni zake alikosa support kama magufuri lakini mwana mama Clinton alikuwa nawatu wengi kama baba lowasa lakini ktkt uchaguzi trump ameshinda vizuri kabisa kwa Kura za wale wale ambao walimkataa nakumwacha pekeyake nimebaki na qz je? Trump. ameiba kura mtazamo wangu staki kauli mvaya team captain

