Hakuna kulala kamanda mpaka kieleweke na bado funguka zaidi hata kama ikibidi Chadema wakawanyike hakuna tatizo.Asante Kamanda kwa "kutufunulia" yaliyofichika.
mkuu wote wanajiona ni zaidi ya chama hebu wasome vizuri.LEMA wivu wako juu ya ABILITY YA ZZK ndio unaokusumbua na kumuogopa,...Hata umpige mawe vipi ZZK ATAENDELEA KUSHINE,..Kama umetumwa na Mbowe mkajipange kwanza!!Zito is years ahead of you and co!
Muache amwage tu, wewe hujui JF ndio mahala ya kuleta malalamiko ya CDM? Vikao vya chama ni kwaajili ya kumpongeza Mbowe na Slaa hata kama wanaboronga.Godbless Hili unaliongea hapa si mahala pake kwani Yeye nae pia ni kiongozi hivyo ulipaswa utumie vikao
2heryZITTO mkuuu usife moyo.huu ni upepo tu utapita.kujibizana na mjinga ni upumbavu.
Soma zaidi hapa:https://www.facebook.com/zittokabwe/posts/655476464473054[h=5]Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na wengine wa kawaida kabisa hatuchukui posho. Sio posho tu, hata msamaha wa kodi wa kuingia magari nimeukataa sababu ya misingi tu, kwamba siwezi kuwa Waziri kivuli ninayepinga misamaha ya kodi wakati huo huo nikachukua misamaha ya kodi. Ninaamini katika siasa za kutenda ninachosema. Mjadala wa posho kwangu mimi nimeufunga toka Juni 8, 2011 nilipoacha kupokea posho za vikao. Mwaka huo pia nilikataa msamaha wa kodi ya kuingia gari. Ni msimamo tu, hapa mtu hupendi msimamo wangu isiwe uadui, wewe endelea kuchukua posho, omba ziwe nyingi zaidi na wala sitatia neno kwenye msimamo huo japo nitaudharau maana posho za vikao ni kuwaibia wananchi ambao hawana maji safi na salama, watoto wao hawana walimu sababu Serikali haiwalipi walimu vizuri, kina mama waja wazito wanakufa kutokana na huduma mbovu za afya huko vijijini nk. Haya ndio masuala ya wananchi wetu na sio kudai kuongezewa posho.[/h]
asante kamanda kwa bandiko lako, sote tunafahamu kuwa zitto sio ni mnafiki wa posho, bali ni mnafiki wa mambo mengi, msaliti na mbinafsi
aliyataka mwenyewe. nani alimwambia aende kwenye vyombo vya habari wakati hili lilikuwa ni suala la ndani ya chama? SHIT FOR SHITNimeamini Chadema wanamuogopa Zitto. Wameshindwa kwenye Vikao, wamehamia kwenye mitandao.
Safi sana kamanda, endelea kumwaga mambo mpaka na mwenzako aje humu kumwaga ya kwako. Hakuna kuogopana hapa. Kama chama kife basi acha kife na wote nyie mkatafute ajira za haki.