Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Unafiki wa Waarabu wadhihirika duniani

Status
Not open for further replies.

Major

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2007
Posts
1,865
Reaction score
2,453
Ukikutana nao wanaposalimiana unaweza kuona wivu, wanaonyesha upendo wa hali ya juu. Mabusu ya kila namna, karibu wote ni dini moja na pia wanaongea lugha moja. Cha ajabu ni wanafiki na wenye tamaa sana. Leo wakimbizi wote wamekimbilia nchi za Ulaya wakati kuna baadhi ya nchi za kiarabu ziko tulivu wangeweza kwenda kwa sababu ni ndugu zao. Ina maana Taifa dogo tena Masikini Kama Tanzania ni la maana kuliko nchi zote za waarabu dunia nzima.

Shame on you Arabu
 
Wakimbizi wa kiarabu wameanza kuja huku Tanzania pia au? Sijakuelewa hapo
 
Waliosababisha ukosefu wa utulivu katika hayo mataifa ya waarabu ni wakina nani? Hao waliopeleka vita Iraq, Syria, Libya n.k ndio wabebe mzigo wa wakimbizi.
mkuu jikite kwenye siasa, haya mambo yanaweza kukupotezea mwelekeo.
 
Unajua tafsiri ya wanachokifanya kwa sasa? Usikurupuke na kupost vitu kwa chuki.

Uchumi wa nchi za kiarabu unaporomoshwa kimkakati, watalishwa njaa mpaka ibada iwe msamiati.
wenye macho wanaangalia kwa jicho la uchumi huu ugunduzi wa mafuta na gas Afrika, Amerika kusini na Amerika kaskazini (marekani)

"Adui yako muombee njaa" jamaa wanasema adui yako mpikie kisha umlishe njaa!!!
 
waarabu wapi anawaongelea huyu mtu?,,,kwani jordani si ina wakimbizi toka syria.?,lebanoni pia na hata iraq,turkey,wewe ulitaka waende wapi ndo uridhike?,
 
unajua tafsiri ya wanacho kifanya kwa sasa?usikurupuke na kupost vitu kwa chuki.

hajui kuwa watu wanakimbilia ulaya kimkakati...

na jinsi wanavyozaliana baada ya miaka 30,sijui ulaya itakuaje...
 
Wanaenda ulaya kuwasilimisha na kuwafundisha ustaaraf....subur uone after 20 yrs...Italy itakuwa na misikiti ya kutosha tu.....
 
hajui kuwa watu wanakimbilia ulaya kimkakati...

na jinsi wanavyozaliana baada ya miaka 30,sijui ulaya itakuaje...
Mkuu baada ya miaka 10tu na siyo 30... DUNIA nzima itakuwa ina DAMU ya kiaarabu!! BABA wa vizazi wote kaunhi hii wameumbiwa WAARABU wee tazama ushuhudie......!!!Umeona FITINA zilivyowaumbuwa hao wa magharibi... limenuka na kuibukia kwao!!! jogi Gidbang m-colour Major
 
Last edited by a moderator:
Mkuu baada ya miaka 10tu na siyo 30... DUNIA nzima itakuwa ina DAMU ya kiaarabu!! BABA wa vizazi wote kaunhi hii wameumbiwa WAARABU wee tazama ushuhudie......!!!Umeona FITINA zilivyowaumbuwa hao wa magharibi... limenuka na kuibukia kwao!!! jogi Gidbang m-colour Major

Mkuu sana Zamiluni Zamiluni, tafadhali rejea tena na utoe ufafanuzi wa hiki ulichoandika. Sijakupata viziri
 
Last edited by a moderator:
Wanaenda ulaya kuwasilimisha na kuwafundisha ustaaraf....subur uone after 20 yrs...Italy itakuwa na misikiti ya kutosha tu.....

Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.
 
Mkuu kama ni mfatiliaji mzuri wa habari kuna tajiri wa misri anaitwa Sawirsi (kama sijakosea) jina anataka kununua kisiwa huko Italy na Ugiriki kisha kuwaweka wakimbizi na kuifanya nchi huru kwa wakimbizi.
 
Uarabu sio uislam. watu wengi wana tabia ya kunasibisha uarabu na uislam. Kumbuka kuna biblia zimeandikwa kwa lugha za kiarabu. Sio kweli kwamba wote wanaokimbilia kule ni waislam. Ndio maana nchi nyingine wanasema tutawapokea waarabu wasio waislam.

Duuuh!!? kuna warabu wasabato au wakatoliki kwel??
 
Wakimbizi wa kiarabu wameanza kuja huku Tanzania pia au sijakuelewa hapo
Namaanisha wakati Rwanda, Burundi, na hata Juzi hapo kenya palipochafuka, Watanzania tuliwapokea Kama wakimbizi. Na tuliwagawia japo kidogo tulichokuwa nacho. Je hao Waarabu wanaojiita matajiri wameshindwa vipi kuwasaidia ndugu zao? Nina wasi wasi na mabusu Yao fek
 
Ukiwakuta walivyovaa. Wanawake black wanaume white utafikir malaika kumbe loh!
 
Mkuu sana Zamiluni Zamiluni, tafadhali rejea tena na utoe ufafanuzi wa hiki ulichoandika. Sijakupata viziri
Ujio mwema na kwa HESHIMA zote, Kama lafudhi ya kiume itakuwepo kwa pande zote mbili basi ntaendela, Ila pakiwepo matusi basi ntastaafu!! (maana sote tuna ulimi pata huu.... washiriki wote walijue hilo)
Kuanzia masharika ya ardhi hii hadi Magharibi Wanaadamu wote tumeumbiwa kulitumia na kusambaa ndani yake!!
hAPA duniani Nchi za IRAQ na SYRIA ndo zilizopendelewa na Muumba wa kauni hii kwa kwapa CHIMBUKO na UZAWA wa dini kongwe..... Kawapendelea waarabu kwa kuwa LUGHA mama ambao hadi huku kwetu iliweza zaa kiswahili (hilo halina upingifu)
RasiliMali na Mtaji wa SYRIA na IRAQI hadi kufikia mda huu na wakati wa leo ilikuwa KUJITEGEMEA na KUJITOSHELEZA kiuchumi ndani ya nchi zao na KIULINZI ndani mwao...(Uliza vijana wenu waliyosoma na kuishi huko miaka ya 1970,80,90~2010 watawaambia) hadi hii leo wa SYIRIA na MaIraqi wanatumia MASHINA ,Magari,Mitmo ya 1940s kwani wanao uwezo wa kutengeneza vipuri (spares) na kuendeleza techno hizo bila kuhutaji misaada au biashara na Nchi za Magharibi.... Zaidi ni kuwa hawakutegemea uchumi wao kwa kuumia Dollari za kimarekani wala Euro za Ulaya!!

Hiyo pia ni moja ya sababu Nchi za Magharibi kuanzisha zengwe na FITINA juu ya IRAQ na SYRIA na mnyonge wao LIBYA...

Sasa Limenuka mzigo wa wakimbizi waubebe wa Magharibi!!! ulichokitaka wamekipata.....!!
Tupo tunaendelea kuona matokeo ....!!
 
The majority of Syrian refugees are living in Jordan and Lebanon, where Mercy Corps has been addressing their needs since 2012. In the region's two smallest countries, weak infrastructure and limited resources are nearing a breaking point under the strain.

Jordan's Za'atari, the first official refugee camp that opened in July 2012, gets the most news coverage because it is the destination for newly arrived refugees. It is also the most concentrated settlement of refugees: Approximately 81,500 Syrians live in Za'atari, making it the country's fourth largest city. The formerly barren desert is crowded with acres of white tents, makeshift shops line a "main street" and sports fields and schools are available for children.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom