Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Habari wadau,
Mbona kwa Donald Trump tulikuwa wa kwanza kupongeza? Alivyojiuzulu waziri mkuu wa uingereza tulipongeza inakuwaje rais ndani ya bara la afrika hatupongezi na tunakaa kimyaa?
Ulaya na marekani kwanini tunawashwa hadi tunatoa pongezi ila barani kwetu tunajitoa ufahamu?