Unafiki wa viongozi: Kwanini hawampongezi rais mteule wa Gambia tunakimbia kupongeza wa Ulaya

Habari wadau,

Mbona kwa Donald Trump tulikuwa wa kwanza kupongeza? Alivyojiuzulu waziri mkuu wa uingereza tulipongeza inakuwaje rais ndani ya bara la afrika hatupongezi na tunakaa kimyaa?

Ulaya na marekani kwanini tunawashwa hadi tunatoa pongezi ila barani kwetu tunajitoa ufahamu?
Hujui Diplomasia ndio tatizo lako
Uhusiano wa Tanzania ulidorora kitambo
 
Binafsi nimependa tu vile His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya A.J.J. Jammeh Babili Mansa, alivyokubali matokeo bila shida...!! Kwa kiongozi wa Africa, tena bado akiwa "kijana" huku akiwa ameingia madarakani kwa mapinduzi; lakini hatimae anakuja kukubali kushindwa; si jambo dogo kwa Afrika hususani Afrika Magharibi! Hata Jammeh Paramagamba Magwepande nae wala haelekei kwamba angeweza kukubali kirahisi namna.... !!!
Huyo ni Rais wa nchi gani mkuu?
Nauliza tu.
 
Kama tunakumbuka wakati raisi mteule wa amerika alipochaguliwa. raisi wetu alimpongeza haraka lkn sijasikia kufanya ivo kwa raisi mteule wa Gambia .hii ni kwa sababu gani munafikir wana jf?karibuni sana
 
Back
Top Bottom