Unafiki wa viongozi: Kwanini hawampongezi rais mteule wa Gambia tunakimbia kupongeza wa Ulaya

Aisee nimeshangaa kichaa Yahaya Jame amekubali kushindwa kistaarabu kabisa, nenda Zanzibar utashangaa mtu amepora ushindi na bado anajisifu ameshinda kwa kishindo cha tsunami, na macho yake makavu kabisa wala hana aibu
 
Habari wadau,

Mbona kwa Donald Trump tulikuwa wa kwanza kupongeza? Alivyojiuzulu waziri mkuu wa uingereza tulipongeza inakuwaje rais ndani ya bara la afrika hatupongezi na tunakaa kimyaa?

Ulaya na marekani kwanini tunawashwa hadi tunatoa pongezi ila barani kwetu tunajitoa ufahamu?
Unafiki wa kiwango cha lami, pia usishangae hawajua kuwa Ghambia kuna kiongozi kachaguliwa!!!
 
Binafsi nimependa tu vile His Excellency Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya A.J.J. Jammeh Babili Mansa, alivyokubali matokeo bila shida...!! Kwa kiongozi wa Africa, tena bado akiwa "kijana" huku akiwa ameingia madarakani kwa mapinduzi; lakini hatimae anakuja kukubali kushindwa; si jambo dogo kwa Afrika hususani Afrika Magharibi! Hata Jammeh Paramagamba Magwepande nae wala haelekei kwamba angeweza kukubali kirahisi namna.... !!!
 
Habari wadau,

Mbona kwa Donald Trump tulikuwa wa kwanza kupongeza? Alivyojiuzulu waziri mkuu wa uingereza tulipongeza inakuwaje rais ndani ya bara la afrika hatupongezi na tunakaa kimyaa?

Ulaya na marekani kwanini tunawashwa hadi tunatoa pongezi ila barani kwetu tunajitoa ufahamu?
Kwani chama kilichoshinda hakipo mlengo mmoja na CDM maana nao nakumbuka walitoa waraka mrefu wa pongezi kwa Trump au mmesahau! Lakini naona sasa hivi kimya au wanasubiri jamaa ateme kizungu chake waanze kukosoa
 
Wataanzaje kumpongeza wakati wanajadiri imekuaje amewasaliti kwa kukubali kushindwaa kibwege vilee.

Katika dakika za lala salama yahaya amefuta madhambi yake yoteee .kwa miungu watu wanaotawala Africa hili ni tukio la kukumbukwa.

Ikiwa tu mkuu wa mkoa anajiita mungu,raisi wa inchi atajiitaje?.
 
Mungu ibariki Zanzibar haki ije kutawala siku moja bila kuwa chini himaya nyingine.
 
Back
Top Bottom