Unafiki wa marekani na ulaya

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,146
7,002
Mimi nawashangaa sana wamarekani kila kitu wao wanakiweza na wanakijua lakini hawa sio watu wazuri na kamwe hawa hawawezi kupenda Afrika iwe na hali nzuri. sasa hivi hawa wanafiki na majizi ya kimarekani na ulaya yanataka Ghadaffi atoke madarakani eti anaua watu wake!! mbona hawajasema pale Bagbo anapoua kule Ivory coast?!!

yaani nawachukia sana hawa wanafiki wanataka Ghadafi atoke waibe mafuta ya libya wanapeleka unafiki wao mbele ili waibe mali za Afrika kama wanavyoiba hapa Tanzania madini !!
 
Ulikuwa hujawastukia tu! Bush aliwahi kusema" Marekani haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, bali kuna maslahi ya kudumu ya Marekani" so kila wafanyacho ni kwa maslahi yao!
 
Back
Top Bottom