Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Huyu Mama BISIMBA kumbe ni mnyarwanda? TISS mko wapi muanze naye huyu bibi kurudishwa kwao?
wewe utakuwa unatekenywa, kama hujui kitu uliza, angalau yule aliye uliza kabila gani lakini wewe umembatiza kabisa, kitu ingine umeacha kufuata facts unarukia vitu binafsi kama kabila , uwe unaandika na kuwaza kama ukoo mguu sawa
 

Wewe ni mzushi mnataka kumfanyia huyu mama ambaye anatetea haki za Watanzania kama mlivyofanyia Jenerali Ulimwengu na kudai si Mtanzania. Acha uongo wa kuandika vitu ambavyo huna uthibitisho wowote. Hata wewe unaweza kugeuziwa kibao ukaambiwa ni mrundi.
 
Ndio zao hawa,hata generali ulimwengu walisema si mtanzania baada ya kuwakaba kooni,leo bi hellen baada ya kuonekana anawakaba koo tena wanaanza kumwita mnyarwanda,haipo hiyo,

Msumeno lazima ukate huku na huku safari hii
 

Na wewe unatumika chama gani?Kama ulikuwa na ushahidi kwa kibanda kwanini usienda mahakamani kushitaki mwenywe au moaka akusaidi?
Huwezi kumwepusha Pinda kitoka kwenye mkono wa sheria kwa kauli nyepesi kama hizi
 
Ta swira : Kutetea gamba unatakiwa uwe roho ya fisi, yaani mpo mpo.
 
Wee KALIKENDE,"hata wale wa mtwara mliowapelekea GESHI ni wa KASKAZINI???"Ama kweli mwamtumikia KAFIRI mjaze matumbo yenu.
CC:Taswira,aunty deo na vibwengo wote.
 
Anajua kibarua kikiisha kuna ubunge wa kuteuliwa unamsubiri. Hizi zote ni njaa tu.
 
Anajua kibarua kikiisha kuna ubunge wa kuteuliwa unamsubiri. Hizi zote ni njaa tu.

Akili za kushikiwa haziwezi kufikiri zaidi ya hapa. Njaa inawasumbua sana nyinyi.
 
Mkuu unakuwa mediocre!
Unamkamataje mtu anayefanya vurugu na kukurushia mawe?
Watu wengine na mabandiko yao ni upuuzi mtupu.
 
Mkuu unakuwa mediocre!
Unamkamataje mtu anayefanya vurugu na kukurushia mawe?
Watu wengine na mabandiko yao ni upuuzi mtupu.

Hakuna sheria yoyote inayoruhusu polisi kumpiga raia yoyote yule. Una ushahidi wa kuonyesha polisi yoyote ambaye amepigwa mawe wakati akimkamata mtuhumiwa? Ni polisi wangapi wameshapigwa mawe katika miji ipi na lini, usikurupuke na kuandika uzushi bila ya kuwa na ushahidi wa kina.
 
Hongera sana Dr Helen Kijo Bisimba,nakupongeza kwa kuwa mwanaharakati halisi kwa kutetea haki halisi za Watanzania na kuandaa maandamano kufungua kesi dhidi ya serikali ya Tanzania katika Mahakama ya The Hegue

Kwa siku za karibuni umeonekana kuwa kinara wa kuipinga Serikali na Jeshi la Polisi,haya yote unayafanya ili uandikwa kwenye vyombo vya habari,wenzako walifanya yote kwa moyo wa uzalendo na sio kuuza sura,bdo maana wakatunukiwa TUZO mbalimbali,nona wewe kama sio mchumia TUMBO napenda kukukubusha baadhi ya majukumu yenu,wew pamoja na wanahakati wenzako

Tanzania kuna majanga mengi kuhusu haki za binadamu,kwa kufupi naona huyajui na unaingilia mambo ya kisiasa na kulumbana na wanasiasa na serikali nakusahau wajibu wako kwa ujumla

Kuna ukiukwaji mkubwa wa yafuatayo:
1.Mauaji ya Albino ambayo yameliti doa utanzania wetu ukiwamo mimi na wewe ambapo watu wa nje ya Tanzania wanaona hatuna dhamira za kweli katika kupamabana na janga hili,kwani wanahakati wote mpo kimya,angalau waandishi wa habari ndo wanajitahidi kulipigia kelele,LAKINI WEWE NA WENZAKO KIMYA

2.Ukeketaji wa wanawake kwa jamii za Wakurya,nalo ni janga,LAKINI WEWE SIJAKUSIKIA KULIPIGIA KELELE

3.Ukiukwaji wa sheria kwa watu ambnao wanakataza PLOSI wasitende wajibu wao kisheria,mfano CHADEMA Arusha kutaka kuvamia kituo cha polisi Arusha,ambapo matokeo yake watu wawili walifARIKI

4.Kifo cha mwangosi Irunga kilitokea baada ya yeye(mareahemu) kutaka plosi wamwachie mwanahabari wa nipashe ambaye alikuwa amekamatwa nakuwekwa chini ya ulinzi pale Nyororo,hili lilipelekea polisi ku llose temper kwa kuwa MWANGOSI HANA NGUVU KISHERIA kukataza polisi wasitimize jukumu lao la kulinda amani

5.Mauaji ya VIKONGWE Kanda ya Ziwa

6.Wewe umejionyesha ya kuwa ni kada wa chama fulani kwa kuwa umekuwa msitari wa mbele kukitetea popote pale kinapofanya mambo bila kufuata sheria.

7.Mapigano ya Wakulima na Wafugaji mikoa ya Morogoro na Mbeya


Katika kuonyesha ya kwamba kazi zako hazina mashiko na ulimwengu unakuona hauna dhamira ya wazi katika kutetea haki za binadamu,Kiongozi mpya wa Mahakama ya The HEGUE alipokuja nchini hakutaka hata kuonana na nyinyi angalau kwa dakika chache alijua nyinyi ni wanasiasa kwa kuwa mambo yote mnayoyapigia kelele hakuna hata moja ambalo linawagusa watanzania MOJA KWA MOJA

Mwisho unaonekana ya kuwa,NENO HAKI ZA BINADAMU KWAKO NI KUPINGANA NA SEREIKALI NA HAUNA DHAMIRA ZA DHATI KUTOKA MOYONI,NA KUTETEA UMMA WA WATANZANIA WENYE MATATIZO YA KISHERIA

Mfano mzuri juzi Waziri Mkuu amesema watu wote ambao wanajiona ni wajeuri na hawataki kutii sheria bila shuruti wapigwe,mmekuja juu,MNGEONEKANA ALAU NA CHEMBE YA BUSARA KAMA MNGEWAKEMEA WALE AMBAO HAWATALKI KUTII SHERIA HALALI YA POLISI,NDO ANGALAU MNGEJADILI KAULI YA MH.PINDA
 
Hizi tetesi kuwa ni mnyarwanda zinamashiko?
 
Kwa thread hii wewe unaunga mkono kuuawa kwa Daudi Mwangosi, kuteswa kwa ulimboka kauli ya serikali Kupitia Pinda ya raia wapigwe tu. Maana Pinda hakusema tu wanaokiuka sheria watapigwa tu (Kama third party) bali akatoa kauli "Namimi nasema wapigwe tu" Ndugu unacheza na amani ya nchi na ndiyo maana hauiipi uzito kauli hii ya Pinda.
Kwa kauli hii Dola imejiweka kwenye mtego mbaya sana wa kulinda usalama wa nchi. Dola itapaswa kuwa na umakini wa hali ya juu kwani ukiukwaji wowote wa haki za binadamu utakaofanywa na vyombo vya dola iwe makusudi au bahati mbaya utahusishwa na kauli ya Pinda. Ni jambo la busara Pinda angeifuta hiyo kauli kwani walinzi wa usalama wa taifa letu watapata viburi na mwisho wa siku kupelekea machafuko. Hebu aifute hiyo kauli ili kutimiza dhana ya utawala bora. Ipo siku mtakuja kuzikana ndimi zenu nyie wote mnaofanya jitihada za kumtetea Pinda.
 
Na ndiyo maana safari hii hawezi tena kwenda the hague kwa vile anajua wazi kuwa hakuna hoja ya msingi katika hili zidi ya kutumiwa kisiasa. Isitoshe ile waliyopeleka the hague inasemekana wametolewa nje na kuambiwa haina mashiko.
 
Umeona tumemshtukia na unyarwanda wake unataka tuwe na sympathy nae? Aende home sweet home
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…