Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.

nakuwa mzito kujibu post zako since nimegundua kuwa mnalipwa bila kujali kuwa mnaandika point au ugoro.
Pia napenda kujibizana na masalia kwa ID zao halisi ili niwachoreshe vizuri na sio hii unayotumia,
au ni kwasababu ya ile ban.........?
 
Kuhusu Sugu na Pinda,mahakama imeshaamua kuwa Pinda ni kama alivyosema Sugu yaani ni Pambaf...
 
Huyu mama nadhani tunapashwa watanzania kumshukuru maana katika hili anatetea wanyonge ambao ndio wahanga wa tamko la Mheshimiwa, wewe kama hauko kwenye group la wanyonge huwezi kujua athari ya kauli hiyo! ni vizuri ukakaa kimya uache mchakato wa sheria utoe ufafanuzi. Ipo siku nchi hii watawala watakuwa wanafanya watakavyo kama kauli kama hizo zitaachwa bila kuhojiwa kisheria!!!
 
Mleta thread huna misingi kwenye madai yako.Hisia zaidi zinakuongoza badala ya uhalisia.Kama hayo uliyoeleza ni kweli,nini kazi ya vyombo vya dola?
Serikali imeshauriwa waunde tume ya kijaji ili kuchunguza mauaji yanayoleta utata;kwa nini serikali inasita/haitaki?Yaani wateue wenyewe hawa magwiji wa sheria ili kutegua kitendawili cha mauaji haya,wana hofu nini? Mh Pinda amesema tupigwe tu bila kipimo,unafikiri ni sahihi katika nchi inayoongozwa kwa utawala wa kisheria?Nasubiri siku atakapoitwa kwa pilato kujitetea.
Atalia tena.
 

haya bi helen b ........oye
 

Wewe akili yako na mawazo yako ni ya 'kipumbavu' . Sasa unataka kutuaminisha kuwa pinda asishitakiwe? Pinda alipaswa kupandishwa kizimbani siku nyingi. Unataka kuleta uchochezi hapa ili Bi Simba asifanye kazi yake kwa weredi? Acha umagamba wako hapa, EBO!
 
Hakuna hoja yoyote hapo zaidi ya chuki zako dhidi ya Dr. Hellen Bisimba na propaganda zako chafu tu.

Hellen Bisimba ni kiongozi wa taasisi ya haki za binadamu hivyo kila anachokifanya ni kwa niaba ya taasisi ya haki za binadamu.

Matukio yote uliyoyataja taasisi ya haki za binadamu ilitoa kauli kuyalaani na kutaka hatua madhumuti zichukuliwe dhidi ya wahusika na hata report yao imeyaweka matukio yote.

Hilo la kudai ITV ilisema Muuza magazeti pale Morogoro alipigwa risasi na mtu aliyekuwa kwenye gari nyeupe, huo ni uongo wako mwenyewe. ITV walisema mashuhuda wanasema muuza magazeti aliuwawa na polisi wa FFU waliokuwa wakipiga risasi ovyo na mabomu ya machozi kuwalenga waandamanaji(Video ya habari hiyo ya ITV ninayo)

Hoja ya msingi inabaki pale pale, Pinda amevunja katiba na ni lazima ashtakiwe mahakamani.
 
acha ubwege unatetea ujinga leo kwa mwenzio kesho kwako,elimu yako haikusaidii unafikiri kima------ kweli ----- ni ----- kheri uwe mpumbafu kuliko -----
 
Dk. Bisimba na taasis anayoiongoza wamefungua Mashtaka kwa tuhuma zenye ushahidi, wewe unayejiita Taswira unazungumzia vitu vya Kufikilika, nadhani una matatizo ya kufikili.
 
Nilifikili mada hii ni ya maana kumbe ni mada isiyo na mashiko na mbaya zaidi hakuna hoja za msingi ni upumbavu unaojaji jambo la msingi na la kihisitoria hapa nchini. bila shaka mleta mada ni jamii ya kina mwigulu nchemba jitu lisilo na uwezo wa kujenga hoja badala yake ni kulopoka hovyo, kamahuna la kuzungumza usiwe unaleta ujinga wako hapa.
 
Heleni Bi Kijo Simba ni mpare wa kuzaliwa,sii mnyarwanda kama unavyodai!Pili sii kila ukiukwaji wa haki za binadamu ushughulikiwe na LHRC,zipo taasisi zingine pia
 
BORA UNGEANDIKA....mavi,mavi,mavi,mavi,au mavi mkojo,mavi mkojo,mavi mkojo kuliko huu uchafu uloandika hapa......KACHUKUE BUKU SABA LUMUMBA.
 
Kitendo cha kuandika kuwa Polisi walisema kuwa yule marehemu muuza magazeti wa morogoro risasi ilitoka kwenye gari nyeupe....imenifanya kuamini kuwa uliyoyaandika ni story za kijiwe cha wanaotumia bidhaa za Idd Azzan.
POLISI WALISEMA MAREHEMU ALIPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…