Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.
 
Wewe ni KIPOFU anayejaribu kuwaongoza wenye macho /wanaoona na kujidai kuwaelekeza. Unapoteza muda bure acha Pinda akalipe gharama ya maneno yake mwenyewe!!!. Pinda was NOT SMART ENOUGH acha kumsaidia kubeba dhambi!!!
 
Huyu pimbi adhibitishe madai yake kuhusu chama la sivyo mods futa huu utumbo. Mamaaaaaaaa! simu yangu imekwapuliwa!
 
Kama maisha yako yanategemea masazo kutoka kwa watawala ni lazima utetee kila ujinga na upumbavu unaofanywa na hao walioshikilia uhai wako
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.....
HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

397309160.jpg
 
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana.

Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu anakalia kimya pindi yanapojitokeza. ABSALOM KIBANDA ni mwandishi huyu,Lakini baada ya kutekwa na kuteswa hadi kupelekea kupoteza meno na jicho huyu Mama Hellen Bi simba alifyata mkia.Alifyata mkia just kwa sababu swala la Absalum Kibanda lilihusisha moja kwa moja chama flani cha siasa kinachombeba kwa mbeleko ya fedha za ruzuku na wafadhili wa chama hicho.

BI.SIMBA hukuona Kibanda alivyoteswa?mbona ulifyata mkia?Mbona kwa Ulimboka uliinuka fasta na kwenda barabarani kuandamana?

HELLEN BI SIMBA mbona umefyata mkia ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na chama cha siasa kumwagia tindikali watu? Kifo cha mwangosi lilikuwa na maslahi kwako?mbona uliinuka na kutoa tamko?

ITV Waliposema kijana aliyepigwa risasi pale morogoro kwenye mkutano wa chama flani,aliyerusha risasi alikuwa kwenye gari nyeupe.Mbona hukuinuka? WATANZANIA wote tunajua Polisi hawatumii gari nyeupe kwenye patrol zake.Ni wazi kunamtu aliwekwa atekeleze lile tukio ndio maana hata wahusika hawataki tukio lileliongelewe kwa sababu wanajua wameshajulikana.

BI.SIMBA mbona hukuinuka na kukemea Mbunge w chadema Sugu kwa kumtukana waziri mkuu kuwa ni --------?Kama wewe mi mtetezi wa kweli unawezaje kukalia kimya mambo kama haya?Kudhalilishwa huku kwa waziri huoni?Sio utamaduni wetu watanzania kurushiana matusi hivi tena kwa kiongozi mkubwa kama huyu.

UNATAKA tuanze kuamini tetesi kuwa wewe ni mnyarwanda na unatumika kudhoofisha serikali yetu?

Kauli ya waziri mkuu kimsingi inalala kwenye ile kauli mbiu halali ya Tii sheria bila shuruti,Kutii sheria bila shuruti hakupelekei mtu kupigwa.Lakini mtu asipo tiii sheria unataka abembelezwe?ni lazima ujiongeze kufikiri katika hili. NCHI GANI hii itakuwa inalea ujinga wa watu kufanya vurugu na serikali ikawakalia kimya?

HELLEN KIJO BI SIMBA ACHA KUTUMIKA NA CHAMA CHA SIASA,KAMA UMETUMWA NA KAGAME BASI TUACHIE NCHI YETU.

ungesema bayana kwamba kwenye hili povu lako ulikuwa unakilenga CHADEMA na sio kutapatapa
 
Mkuu wewe ndiyo unajua leo kwa tarifa yako anakadi ya bawacha mimi sijui bawacha ni nini ila anakadi yao.
 
Kazi nzuri pitia elfu saba zako hapa Lumumba!!
 
hahahahah wewe mwanachama wa ccm naona umeamua kuleta propaganda hapa,,,, ukimaliza uje upitie ile buku saba yako ulio ahidiwa
 
Wewe hujaelewa kabisa au umegoma kuelewa

Pinda yupo kwenye nafasi ya kutoa 'order'..
kwa vyombo vya dola

hilo sio sawa na uhalifu mwimngine wa kawaida ambao ni police case...

Pinda anashitakiwa kuvunja katiba na sio kufannya uhalifu

elewa tofauti...
 
Wahi Lumumba kuchukua buku 7, kuna foleni mjini kama upo mbali
 
Ulifikiri kabla hujaandika? nikiisema umekurupuka ntakuwa nimekupendelea, ulikuwa unaandika wakati uko sehemu gani? Chooni, kweye bodaboda? CHAMA CHA SIASA? KIPI HICHO? Unasamehewa bure, ni uelewa wako tuu ndio umekufkisha hapo! Pole na uende shule sawa mkuu!
 
Safari hii mtatwambia hata ambayo hayasemeki, wewe tulia sindano iingie taratibu,, Mbaazi akikosa maua husingizia jua. Ninyi mnatumia pesa za kodi za wakulima na wafanyakazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, halafu hamjakamata hata hao wa vyama unavyo tutungia ngonjera hapa kama mnawajua kwa nini msiwakamate na kuwapeleka mahakamani?

Unajua jambo la hisia na kutunga liko dhahiri sana, hayo unayoyasema ni poroja ama hekaya za Abunwasi,, Mtawasingizia viongozi wa dini, Wanaharakati, vyama vya siasa na kila atakayeibuka kuwa kosoa kama UDASA na hata tume ya Waryoba. Ambao hamuwatilii shaka ni UWT, JWTZ na POLICCM.

Tulia unyolewe tu kabla ya 2015 mtasema mengi,

Tafakari!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom