Unafiki wa dokta Rwaitama

Unafiki wa dokta Rwaitama

mdoe the thinker

Senior Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
104
Reaction score
20
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .

Nionavyo:
dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?

DOKTA MNAFIKI!!!!
 
nakumbuka aliwahi kunukuliwa akisema yeye ni CCM na hata acha kuikosoa pale inapofanya madudu!
 
Sasa hapo unafiki wake ukwapi???kawa mkweli wa nafsi yake...na ungejua ukaribu wa Lwaitama na Kitila,basi ungejua Dr Lwaitama si mnafiki kwa kumkosoa hivyo Kitila....Soma aya ya mwisho utajua jinsi Lwaitama asivyo mnafiki
 
Jf kama hujaisifia CDM basi wewe utaitwa mnafiki tu! Wala hiyo cdm yenyewe haina la maana ni udini na ukabila tu.
 
Bidhaa zenu zichukueni zinaumbuka sokoni, Dr Lwaitama unaweza ukamfananisha na Dr. Bana? Bora mwanangu wa darasa la nne sio Bana.
 
inakuaje wakati mwingne anasema yeye ni mwanachama mfu?tumuelewe kwa lipi?msomi gani anakua na kauli zinazo kinzana?
 
Usimguse mwalimu wangu wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni mnafiki. Ni ccm bt passive member

Ni ccm bt passive member.mbona wakati mwingne hujipambanua kama mwanachama mfu wa ccm!?mwalimu wako mnafiki kwa hili ijapokua anahoja sometimes
 
Sasa hapo unafiki wake ukwapi???kawa mkweli wa nafsi yake...na ungejua ukaribu wa Lwaitama na Kitila,basi ungejua Dr Lwaitama si mnafiki kwa kumkosoa hivyo Kitila....Soma aya ya mwisho utajua jinsi Lwaitama asivyo mnafiki
Hadi na wewe unamsuta gamba mwenzako? Unaona sasa mnavyojichanganya!!
 
UTAMUSUMBUA BURE DOKTA LWAITAMA WEWE ndo uelewa unakupiga chenga, kasome tena andiko lake, au omba usomewe
 
Kwa uelewa wangu akina MDOE ni watu wenye akili sana ila wewe sijui umetoka wapi!!! Utakua umeiba jina, hata hivyo mtu anaeitwa Rwaitama ni nani mbona simfahamu? au ndii huo unafiki wenyewe
 
I think hawa wote ndio wale wa DIVISION FIVE, kasome tena lile andiko ukiwa umevaaa miwani
 
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .

Nionavyo:
dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?

DOKTA MNAFIKI!!!!

Hivi kweli ndugu yangu unaweza kutofautisha TANU na CCM ukaeleweka kweli au CCM na ASP THESE ARE INSEPERABLE na mtu kusema ni Mwanachama mfu hakuna unafiki hapo ni kweli kwasababu yawezekana anakubaliana na itikadi za CCM lakini anatofautiana na watekelezaji wa Itikadi hizo so anasubiri the Right time hapo hakuna unafiki.
 
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .

Nionavyo:
dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?

DOKTA MNAFIKI!!!!

Ts shame that u er member here
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom