mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
- Thread starter
- #21
I think hawa wote ndio wale wa DIVISION FIVE, kasome tena lile andiko ukiwa umevaaa miwani
Na wewe div 5 mwenzangu kachukue DARUBINI usome upya post yangu!!!!!
I think hawa wote ndio wale wa DIVISION FIVE, kasome tena lile andiko ukiwa umevaaa miwani
Unafiki wake upo wapi sasa hapo.
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .
Nionavyo:dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?
DOKTA MNAFIKI!!!!

Soma waraka wa mwalimu wako uone alivyowaponda CCM na kuwasifia CDM hasa kwa maamuzi yao recentlyUsimguse mwalimu wangu wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni mnafiki. Ni ccm bt passive member
Unafiki wake upo wapi sasa hapo.
Jf kama hujaisifia CDM basi wewe utaitwa mnafiki tu! Wala hiyo cdm yenyewe haina la maana ni udini na ukabila tu.
Usimguse mwalimu wangu
wewee. Ana mawazo huru kama hajasema unachokipenda haina maana ni
mnafiki. Ni ccm bt passive member
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .
Nionavyo:dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?
DOKTA MNAFIKI!!!!
''Mimi nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi, labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI .
Nionavyo:dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?
DOKTA MNAFIKI!!!!
inakuaje wakati mwingne anasema yeye ni mwanachama mfu?tumuelewe kwa lipi?msomi gani anakua na kauli zinazo kinzana?

[FONT=arial
black][/FONT]''Mimi
nilijitoa TANU tangu 1973 na sijarudi CCM hadi leo vile najua hoja zangu
zitakuwa na uungwaji mkono finyu kwa sasa katika vyombo vya maamuzi,
labda pale CCM kikiondolewa madarakani kikabaki na waumini wa kweli wa
ujamaa na umajumui wa kiafrika'' HII ni nukuu ya dkt rwaitama.
Nimeitoa kwenye uchambuzi wake uliosukumwa na TAFAKURI TUNDUIZI
.
Nionavyo:dkt bado ni mwanachama wa ccm aliyejificha chini ya
mwamvuli wa mabadiliko akingojea kupewa kacheo!!ALIJITOA TANU
TANGU MWAKA 1973 NA HAJARUDI CCM HADI LEO,anajiitaje mwanachama mfu
wa ccm wakati yeye alijitoa tanu!?
DOKTA MNAFIKI!!!!