UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.

Watu wengi wamekata tamaa. Hasa waliposikia kuwa Chadema walitaka watonywe ili warekebishe mahesabu!

Watu werevu wameshaanza kuachana na Chadema mmoja baaada ya mwingine.
 

hili ni jukwaa la heshimu, tafadhali kuweka kumbukumbu sawa ,ebu taja sheria ipi iliyoridhiwa kuwa ku spy ni kosa la jinai?utakuwa umetusaidia wanajamvi ili tusiongee kama tuko bafuni....asante...
 

nimegundua wewe ni Ben saa eiti unatumia jina la kike, maana mwandiko Wako ndo ule ule wa kulala...pole kwa kujifanya mwanadada, jibu hoja hapo mbeba sumu na kuwadi wa babu,
 

Ufafanuzi kwenye bold, au ndo divisheni 5 !?
 
Watu wengi wamekata tamaa. Hasa waliposikia kuwa Chadema walitaka watonywe ili warekebishe mahesabu!

Watu werevu wameshaanza kuachana na Chadema mmoja baaada ya mwingine.


Kwanza geuka nyuma angalia chama chako ccm na madhila kwa raia wasio na makosa

Tuambie nini kilitokea baada ya Ramadhani Ighondu kumjeruhi Dakitari bwana Ulimboka

1. Ramadani yuko wapi na Bwana Pinda na Nchimbi walisema nini kuhusu usalama wa Taifa nanini kilitokea

2. Gazeti la mwanahalisi likowapi baada ya kuchapisha mtiririko mzima wa madhambi ya Rama Ighondu kwa ulimboka?

3. Nini maana ya neno upelelezi kwa chama au Taifa............

i) kuathiri chama kwa kukiendeleza (+ve impact)

ii) kuathiri chama kwa kukiangamiza (-ve impact)

Ukinijibu haya tutaendelea kujadili hoja yako
 
Watu wengi wamekata tamaa. Hasa waliposikia kuwa Chadema walitaka watonywe ili warekebishe mahesabu!

Watu werevu wameshaanza kuachana na Chadema mmoja baaada ya mwingine.

wengi tu walishaachana nao kimya kimya...ila kinachowashangaza wananchi ni kuwa wasemaji wa mgogoro huo majukwaani ni waandamizi wa ccm eg nape, nchemba na masalia.

Kwenye mtandao ni id kama izi, ff, ritz, ze marcop...
sasa sisi wasomaji mara nyingi tunajiuliza, ivi kwa nini chadema wafukuze watendaji mahiri na ccm inune badala ya kushangilia kuwa sasa wanapeta kirahisi...hapa kila mtu anaona kuwa ccm wanaona unafuu sasa unaenda ukingoni...
NDO MAANA WATU MAKINI WALA HAWAANGAIKI, WANACHORA TU CCM WANAVOANGAIKA KUWANUSURU WANACHADEMA WANAOWATAKA...KWA MTINDO HUU MZEE WASSIRA , KWELI CDM ITAKUFA KABLA YA 2014 AU BAADA??
Sijapenda kufukuzana , na sipingi kamati kuu ya chadema ila mshangao wa uku uraiani watu wanajiuliza kwa nini ccm na akina nchemba , nape na ze marcopolo. simiyu,first lad woooote wanalia lia....I HAVE THE IDEA IT IS OVER!
 
hili ni jukwaa la heshimu, tafadhali kuweka kumbukumbu sawa ,ebu taja sheria ipi iliyoridhiwa kuwa ku spy ni kosa la jinai?utakuwa umetusaidia wanajamvi ili tusiongee kama tuko bafuni....asante...

Je, unaunga mkono uspy wa Ben Saanane?
 
Ni kweli anchosema Zemacopolo- USHAHIDI UNAOKUSANYWA KINYUME CHA SHERIA ZA NCHI NI USHAHIDI USIOKUBALIKA, NA KATIKA HILI CHADEMA INAWEZA KUJIKUTA MATATANI KWA KUWA NA VIKUNDI VYA SIRI VYA KIJASUSI.

JE HICHO KIKUNDI CHA SIRI KILIUNDWA KWA MUJIBU WA KANUNI GANI YA CHAMA?.
KAMA HICHO KIKUNDI KILIKUWA NA NIA NJEMA MBONA BASI VIONGOZI WENGINE WALIFICHWA?
 

Umemuuliza maswali ya msingi, sasa subiri mipasho...!
 

CCM ndiyo iliyoanzisha mfumo wa vyama vingi nchini. Ndio maana CCM inapenda kuona vyama vya upinzani vinakomaa na kuwa na demokrasia ya kweli.

CCM haijaruhusu mfumo wa vyama vingi uwepo nchini ili wajitokeze maAyatollah watakaokuwa wanatumia watu kama mtaji wa kibiashara. Ndio maana CCM iko macho kuhakikisha ulaghai wa Chadema hauendelei.

CC THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:

Uko nje ya hoja.

Tunajadili unafiki wa bavicha kuunga mkono mikakati ya siri ya Dr. Slaa na kuipinga mikakati ya siri ya mwanazuoni Kitila...
 
nimegundua wewe ni Ben saa eiti unatumia jina la kike, maana mwandiko Wako ndo ule ule wa kulala...pole kwa kujifanya mwanadada, jibu hoja hapo mbeba sumu na kuwadi wa babu,

Ah ah ah , ndugu una vituko?kumbe uyu ni beni anatuzuga sio?ila hii ID ipo tangu mwaka 2004 wakati lissu akiwa mwanaharakati anawasumbua Ben Mkapa na Mh rais wa marekani Bush. Ebu rejea ile ya Ben Mkapa+Bush Vs Lissu(lawyer).
Uyu mtu alikuwa akipost sana yanayojili utadhani ni mwandishi wa kujitegemea. Kama ni beni duh, Beni shikamoo!Maana umetoka mbali...ila mmhhh wewe umejuaje kama ni beni?mbona wewe unaandika kama kingunge ngombale ila watu hawaja ku name call???ebu fafanua
 
Maproko huna mengine zaidi ya kila saa CDM na Zito? He mnachosha!
 

Slaa anawauma wanaCCM duh...!
 

"Mida Eight anatumiwa na Dr. Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
 
Maziwa yanatolewa na ng´ombe, lakini ukienda kuulizia maziwa buchani watu watakushangaa.

lazima wakushangae maana ng'ombe haijawahi kutokea akawa buchani, uwa tunakutana na nyama tu either ya mbuzi, wanyapori,nyama ya ng'ombe , nk Ukitaka maziwa nenda kwa mkamuaji au muuza maziwa....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…