Unafiki unaliangamiza Taifa

Nlisema baada ya matukio ya Magu na Shein kumtembelea Seif, UKAWA watatamani wahame nchi..
 
Wewe kwani unajua kitu zaidi ya mozoga? Fisi tu
Najua zaidi yako na ndio maana siku zote wewe na kundi la manyumbu mko nyuma yetu mkilalama tu. Mnashituka mmeshapigwa bila kujua kilichowapiga ni kitu gani. Ukweli mchungu ila endeleeni kuwa manyumbu hivyo hivyo maana ni furaha yetu.
 
Najua zaidi yako na ndio maana siku zote wewe na kundi la manyumbu mko nyuma yetu mkilalama tu. Mnashituka mmeshapigwa bila kujua kilichowapiga ni kitu gani. Ukweli mchungu ila endeleeni kuwa manyumbu hivyo hivyo maana ni furaha yetu.
Mlichokofanya 25 dunia inakijuamlichokifanya Zanzibar duniainakijua mnayoyafanya kwenye Umeya Dar Dunia inajua... Mwisho wa Ukurunzinza ni mbaya sana
 
Na JPM alivyo jipanga,baada ya miaka michache tutaanza kuwakopesha na sisi hela
 
Baada ya JPM kumjulia hali Maalim ndiyo msururu wa viongozi kumtembelea. Jana zamu ya mgombea binafsi uchagazi wa marudio Zanzibar Hamad Rashid.
 
Hivi watu wengine mna akili na ufahamu kweli? hapa issue ni kura za wengi ziheshimiwe na si vinginevyo! sasa povu la nini? alioyeshinda atangazwe! Ila ccm kwa uaminifu wake kwa SHATENI ndio wanataka kuleta fujo Nchi hii kwani HAKI haiombwi bali HUDAIWA!
 
kwani zanzibar ni ya kwake peke yake huyo maalim sefu?zaid ya kuiingiza serikali sioni la baana,tangu lini mtu atoke hospitali mapumziko akafanyie hoteli ya nyota tano wakati ana kwake?
 
Unafaki ni moja ya vitu vinavyoangamiza maendeleo katika nchi zetu kwani hii ni aina ya rushwa ambayo watu wengi hawadhanii kama ina madhara kwa taifa. Hakika taifa lililojengwa na msingi wa unafiki na kujipendezekeza basi taifa hilo lisahau maendeleo ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…