Unafiki unaliangamiza Taifa

Jamaa akiambiwa nyumbu ndio anapiga beni.
 
Unamsema Shemeji yake na Maalim Seif?
 
wewe ndio mnafiki kuliko wanafiki unaowaongelea maana unaficha kilicho moyoni kwako. Just because you have some difference politically does not mean that you keep your distance even when your competitor has some misfortune in life. I am very sure if none of those leaders visited Maalim, your propaganda mills would have gone wild with all sorts of accusations. Since these guys are wise enough to tell the difference, could you please just shut up.
 
Ongea tu kiswahili maana unazidi kujiaibisha
 
Kutofautiana kiitikadi sio kigezo cha upendo kupotea kabisa. Unajenga dhana kwamba tofauti ya kisiasa na yote yanayoendelea kwenye mambo ya kisiasa hutoa picha halisi ya tabia za mtu. Unajenga dhana potofu kwamba mtu akishakuwa ni mfuasi wa itikadi fulani badi tayari ni msafi kupita maelezo, kitu ambacho hakina ukweli wowote ule. Kumbuka kuwa gharama zote za ukaaji wa Maalim Seif hapo hotelini zinalipiwa na serikali.

Siasa za vyama vingi sio tiketi ya uhasama, sio tiketi ya kuwagawa watu kwenye mambo yale ya "wao" na
"sisi". Sio unafiki kwa viongozi wa serikali kwenda kumtazama kiongozi mwenzao akiwa amelazwa. Mleta mada unaipotosha maana pana ya siasa za ushindani.
 


Nilipenda sana.Maana huyo Mwenzake alidhani mamlaka aliyokuwa nayo vitu kama vifo havitamfuata. Kwa umri ule nilimshangaa alivyomsakama rafiki yake kipenzi hadi kwenye masuala binafsi ya kiafya
 
Wewe umeandika au umetoa Kinyesi?
You see, true to kind. Kupayuka na kutukana pasipo sababu. Kama wewe ndio aina ya watu wanaotegemewa na chama chako, basi mtaendelea kulalamika tu bila kujua tatizo linaanzia kwenu kwa kuwa mna akili isiyo na akili.
 
You see, true to kind. Kupayuka na kutukana pasipo sababu. Kama wewe ndio aina ya watu wanaotegemewa na chama chako, basi mtaendelea kulalamika tu bila kujua tatizo linaanzia kwenu kwa kuwa mna akili isiyo na akili.
Maana nyie mnatupamba? Shirikisha ubongo
 
Unafiki wa Sefu unakaribia ukingoni yaani atakavyowageuka mtashangaa
 
Jiulize, katika maandishi yako unashirikisha ubongo wako kwa kiasi gani? Bila kufanya hivyo, manyumbu watendelea kuliwa na mamba tu.
Naona wewe ndio kichwa maji kweli kweli hapo kwenye viwanja vya fisi Lumumba maana unaongea usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…