Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
- Thread starter
- #21
AJIRa za waalim zimetoka 5000.. Sasa waliobaki hao Wameambiwa WAJIAJIRI [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
We waache waendelee kuwaingiza chaka maboya. Halafu hawasemi ukweli, kwamba sio kila mtu mjasiriamali, wanatulazimisha tu tuwe wajisiriamali. Wanasiasa kuna mahali wamefeli sasa wanatumia ujasiriamali kama uchochoro wa kukimbia ukweli/kosa lao, kenge hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app