Unafiki huu utakwisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki huu utakwisha lini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Dec 25, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Principal Social Welfare Officer in the Ministry of Health and Social Welfare, Ms Josephine Lyengi, presents Christmas gifts to Sister Mary Gelisna at State House in Dar es Salaam on Friday, The gifts were donated by President Jakaya Kikwete to Amani and Furaha childrenÂ’s centres of Mburahati. Similar centres in Arusha, Kilimanjaro, Tanga regions; and Zanzibar received similar gifts. Looking on is Sister Mary Emmanuel. (Photo by Robert Okanda)
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje ni nyakati za sikukuu tu ndiyo tunakumbuka kuwajali wasio na uwezo halafu sikukuu zikipita tunaingia mitini?.............Hivi hatujui ya kuwa wanyonge hao wanatuhitaji haswa hiyo miezi lukuki kulikoni hata hizo sikukuu.......................ambapo watoa zawadi huiita vyombo vya habari ili wapate thawabu yao hapahapa duniani?

  Kweli matatizo ambayo sisi viongozi ndiyo tumeyachangia sasa twayageuza kuwa kivuno chetu cha kisiasa.......................jamani tuache unafiki na tuwe wa kweli..........................
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Haisaidii kuwapa mbuzi kila ifikapo wakati wa sikukuu, hawa wanahitaji kuwezeshwa ili waweze kuwa na mbuzi wao wenyewe. WAFUNDISHENI KUVUA SAMAKI WENYEWE MUONDOKANE NA WAO KUWATEGEMEA KUPATA KITOWEO TOKA KWENU. Mkiacha kuwakumbatia mafisadi hilo linawezekana!! MERRY X-MAS TO YOU ALL AND HOPEFULLY YOU WILL HAVE A FRUITFUL 2011!
   
 4. B

  Batale JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,070
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Jk safari hii hajatoa wadau? sijaona popote au issue Hosea na jasusi la Marekani imempotezea.
   
 5. P

  Percival JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sioni unafiki wowote hapa ila naona ni mambo mazuri na yanafaa kuigwa.
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni kazi ya watu kuchangia, wewe umechangia au unalaumu tu.

  Mayatima kuwatunza ni kazi ya kila mtu..siyo rais na ikulu
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mungu awalaani
   
 8. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kibuzi hicho ngoja nikamuite paka mweusi aje nifanyia utumbo wa mbuzii.........:yuck::yuck:
   
 9. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lawama nyingine hazifai. Hata kama ameita waandishi wa habari au wamejipeleka la msingi ni kwamba amechangia kwenye siku muhimu kwa hao wanaopokea kama wewe ulivyowatakia heri wenzio kwenye sikukuu zinazowahusu. Kila jambo likikaa kisiasa hatuendi mbali. Iulize nafsi yako kama kabla ya kulalamikia hili na kuliita unafiki, wewe umechangia vipi.
   
 10. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama hujui huu ni unafiki basi wewe pia ni wale wale. Zawadi ziantolewa wakati wa sikukuu tu? wapi na wapi? tena vijibuzi
   
Loading...