Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

Mtaelewa tu maninx!

Mlimuita Shetani dhalimu ila hamkuwahi kulala gizani wala kuumia na kiu cha maji
!

Endeleeni kushangilia “Mama anaupiga mwingii”
Mama ni wa hovyo kwa sababu dhalimu alikuwa wa hovyo sana. Hakutengeneza mifumo heavy ya kitaasisi bali alikuwa anajijengea ego yake kama vile ataishi milele. Kiongozi bora ni yule ajengaye kesho imara kwa wengine na sio ubinafsi wa sifa kama mshamba yule
 
Kwangu mie udhaifu wa hayati nauona hapo ila sio kwamba hakuwa na nia thabiti ya kukomboa watanzania wenzake!

Alifeli hapo tu yani japo kuna mifumo alianza kuweka ila inazoroteshwa makusudi na walafi waliopo madarakani ili wapige hela!
 
Wapotoshaji na waongo wako wengi sana serikali hii
 
kwa hiyo mama anaijenga kesho kwa kukata umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…