Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?

Weee unafanana na mke wangu,ila anajifanya hana hisia na mimi ,nikilala nje makelele,juzi nimelala club kawapigia simu wana ukoo wangu wote kuwaambia,ila yote Yeye ndo alianza dharau na kujiona mwamba kisa tuna ndoa na watoto,now tunaishi kibabe tu siku ziende
We ulilala club kweli?
 
Habari wana JF!

Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mume wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Pole

Moyo jiishakufa ganzi hatari sana

Wanaume hawajuagi tu

Hebu concentrate na wanao mwaya....
 
Kwasasa sina hamu wala hisia kwa mwenza wangu tatizo ni ananivuruga na kunichanganya sana. Ananicheat mpaka najua sasa moyo umepondeka sana
Linda sana moyo woko.......

Hawa binadamu ukiwapa moyo ni shida....

Keep yourself busy
 
Juzi niliandika uzi ...."Usiombe mwanamke akuchukulie Poa ""..mods waliufuta kisa lugha nlotumia.


WAKATI ALONAO MTOA MADA, AKIKUTANA NA KIJANA MJANJA MJANJA, WATAKULANA KIMASIHARA.

na Mbaya zaidi, hatojali kama kuna kondom wala nn

Matokeo yake analiwa, anapewa ngoma, anakuletea Ndani, unapiga ,nawee unaunganishwa kwa Gridi.




ACHENI KUCHEPUKA KWA UJINGA KIASI KWAMBA, MKEO AKUJUE KWAMBA UNACHEPUKA.


USIOMBE MWANAMKE AKUCHUKULIE POA.


USHAURI WANGU KWAKO WEWE BIDADA ......( Ushauri kama huna mpango wa kumsaliti)

embu wekeza kwa sasa kwako wewe, na kwa wanao

USIJARIBU Kujilazimisha kurudisha hisia zako kwake

KUA MAKINI KWA VIJANA WATAKAOKUPA USHAURI HUMU +HUKO NJE..

ushauri uishie kwenye ushauri,

MUOMBE MUNGU.


USHAURI KAMA NAWEWE UNA MPANGO WA KULIPA KISASI

Wewe ni mwanamke, bila shaka ni mrembo wa Sura na Umbo ,mwanamke ambaye kila ukipita basi Jicho la mwanaume akutazamaye atahitaji kua nawewe kwa sababu hawez kumudu kua mbali nawewe.

Unajua kwenye Jamii zetu hizi, suala la Mwanaume kua na wanawake wengi linaonekana ndo Udume na pongezi, lkn mwanamke anapoumizwa ndoani, nakuamua kutafuta mtu wakumpa Faraja, basi huyo mwanamke hulaumiwaa sana, nakuonekana Hafai.

Mimi Carlos The Jackal siwez kukujaji kwa sababu niwewe unayejua maumivu makali unayopitia na ukweli nikwamba, Una Haki kabisaa ya kutafuta mtu ambaye ataupa Moyo wako Furaha.
Umenena kabisaaaa!!!!
 
Hizj mbuzi haziombagi msamaha hizi

Ndio maana bi dada imemuuma
Ni new Bibi harusi in town?

Jipe muda tu yatajirejesha yenyewe, atakucheat tena kama ni muungwana ataomba samahani japo sio rahisi kwa mwanaume, msamehe maisha yaendelee atakucheat tena na tena na tena...

Option ni mbili hapo, ya kwanza kuishi na hilo (kwamba ni cheater), ya pili ni kumuacha.

Ukichagua ya kwanza ni sawa, jiongezee na mambo yatakayokuwa yanakupa raha na furaha, ukichagua ya pili ni sawa pia ila jua cheating is like rainfall it rains everywhere, ukimuacha huyo unaweza jikuta mikononi mwa shababi anaeweza kukucheat hata kwa mbuzi.

Pole, (ujumbe mwingine ntakupa pm)
 
Habari wana JF!

Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mume wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
Kama amekuzingua mara mbili achana nae atakuua bure maradhi mengi. Njoo kwangu.
 
Ataumiaje?

Unajua utamu wa penzi jipya mkuu?????

Hata kisirani kitamuisha
Aisee kwahiyo sie mbuzi.
Sawa bhana ni vizuri pia umemsapot aendelee kuchepuka halafu tena anaumia yeye.wanawake bhana.acha nicheke tu
Hiyo mbuzi usiijali hapo imetumika kama KIVUMISHI CHA SIFA
 
Hayo ni matokeo. Mara nyingi wanawake huwa mnaanza maudhi na kunyima unyumba. Mwanaume anavumilia hadi anachoka. Akichoka anatafuta mchepuko, ukija kusituka mwanaume hana hamu na K yako. Hapo ndipo unaanza kulaumu kwanini anachepuka.

Jinsi ya kufanya, jitathimini ulipoteleza, jaribu kujirekebisha. Anza upya naye atabadilika bila ya ukali maana dawa ya moto ni maji si moto. Kila la kheri
Aisee kama kuna jambo wanawake wanakosea ni hilo, yaani utashangaa ameridhika amekuzoea utazani wewe huwezi waona wengine duuuh!!! Inaboa sana.
 
kabla sijaoa nilikuwa nawachukia wazee waliokuwa wanawasaliti wake zao kwenda nyumba ndogo ila toka nimeoa nimeona hawana kosa kbs,, makosa yaanzia kwa wake zao, unarudi home kelele, unaomba unyumba unasubirishwa mara leo nimechoka, kesho tena umechoka, unaomba unyumba asubuhi unaambiwa subiri usiku, ukifika usiku leo nimechoka unajikuta umekata wiki mbili kwa nn nisiende nyumba ya jirani? mama jitafakari vyema angalia mapungufu yako. muda mwingine unapewa kama umesusiwa tu hakuna ushirikiano. ukienda kwenye kazi ya nje hadi unafurahi unasikia hadi sauti nzuri masikioni mtoto analalamika kwa maneno mazuri ukija home speaker mbovu haitoi mlio kimya kimya
Mimi hapo naona ndio ukweli uliopo kwa sababu mimi binafsi nikimaliza hamu zangu kwa wife hata nikienda mtaani sina shida. Lakini umesubilishwa zaidi ya week alafu uko mtaani unakuta na pic kali. nishida wanawake mujiangalie sana sio kulia lia tu.
 
Mimi hapo naona ndio ukweli uliopo kwa sababu mimi binafsi nikimaliza hamu zangu kwa wife hata nikienda mtaani sina shida. Lakini umesubilishwa zaidi ya week alafu uko mtaani unakuta na pic kali. nishida wanawake mujiangalie sana sio kulia lia tu.
Kumpata mwanamke ambaye ni considerate, ndiyo maana kuna wanawake akivaa anaonekana kituko lakini hajali. Mwanamke ana miaka 60 lakini anavaa nguo juu ya Magoti! Hata hapa watu - nitawataja kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom