donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Kama bongo movies tu, akija analia unamkumbatia na ka-kiss kadogo mnakula na tunda then, .......9 months later..........
Hahaha, made my night bruv!
Kama bongo movies tu, akija analia unamkumbatia na ka-kiss kadogo mnakula na tunda then, .......9 months later..........
Hayo mambo yapo, kuna ndugu yangu alipata mke kwa style ya Kum- console