Unafanyaje ukigundua mpenzi wako kalogwa?

Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
😎😎 Kwa alie fanyia mpenzi wako, akifa na uchawi wake unakufa
share_760454100423942242~2.jpeg
 
Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two ,Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two.
🔥🔥🔥🔥🔥

Lil' mama super thick (thick), she say she (22)
She seen 'em (22's), we in Room (222)
I touch work, like I'm Convertible Burt (Burt)
I got distribution, so I'm convertin' the work (work)
In the (M-I-yayo) them niggas rich off (yayo)
Steady slangin' (yayo), my Chevy bangin' (ayo)
Every day, I'm hustlin', e-every day, I'm hustl-
Every day, I'm hustlin', e-every day, I'm hustlin'
Every day, I'm hustlin', every day, I'm hustlin'
Every day, I'm hustlin', every day, I'm- every day, I'm
 
Hatari :ALERTA::ALERTA: 305 M.I Yayo.
 
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
Yaani hapa huitaji ushauri wala usijifanye unauliza maswali.. Wewe fanya kama ulivo panga na matokeo yake usituambie. Na unaweza kuta mpenzi wako hajalogwa, ni akili yake mbovu tu.. Hata bipo pole kwa matatizo..
 
Chukua mkaa saga, halafu tafuta mavi ya bundi changanya, weka chumvi ya mawe ma mchanganyiko wa majani ya mmavimavi, halafu yakoroge kwenye maji yaliyoogeshewa maiti, weka kwenye chupa ya soda. halafu yabanze chooni kwa siku tatu halafu mnyweshwe chupa yote kwa mara moja
Fanya hivi halafu ulete mrejesho
 
Mhhhhh mkuu anywe maji yaliyoogeshewa maiti??Alafu akifanya hivyo matokeo yake yanakuwaje??Na je kwa mwanamke ambayo amefungwa uzazi wake asizae kuna matibabu ambayo yanaweza kumsaidia...
 
Na je kwa mwanamke ambayo amefungwa uzazi wake asizae kuna matibabu ambayo yanaweza kumsaidia...
Mpeleke hospitali kwa madaktari bingwa watamtibia kisayansi na kitaalamu zaidi
Hakuna kitu kinaitwa kufungwa uzazi, ni aidha kuna ugumba wa kuzaliwa, au kuna shida ambayo inahitaji matibabu ya kisayansi yanayopatikana hospitalini tu
 
Kanunue dawa inaitwa msaka uchawi anywe kwa maji moto na kuoga kwa manuizi.
Mdanganye had atumie akijua matumiz mengne
 
Chukua mkaa saga, halafu tafuta mavi ya bundi changanya, weka chumvi ya mawe ma mchanganyiko wa majani ya mmavimavi, halafu yakoroge kwenye maji yaliyoogeshewa maiti, weka kwenye chupa ya soda. halafu yabanze chooni kwa siku tatu halafu mnyweshwe chupa yote kwa mara moja
Fanya hivi halafu ulete mrejesho
ila upo siriaz mkuu? najua maji ya maiti huvimbisha tumbo kana kwamba mtu kaugua ini.
 
Sio ndio ile wanasema aliyekuroga kafa, inamaana hakuna wa kutengua😅
Huyo ndio atajua hajui unampiga chuma gwiji wakati vikorokoro vyake katupia baharini so huyo ailavyuu wake hatoaguliwa badala yake atapewa hifadhi ya kudumu Mirembe
 
Chukua mkaa saga, halafu tafuta mavi ya bundi changanya, weka chumvi ya mawe ma mchanganyiko wa majani ya mmavimavi, halafu yakoroge kwenye maji yaliyoogeshewa maiti, weka kwenye chupa ya soda. halafu yabanze chooni kwa siku tatu halafu mnyweshwe chupa yote kwa mara moja
Fanya hivi halafu ulete mrejesho
Duh
 
Back
Top Bottom