Nina mtizamo tofauti vipi ukifumaniwa utafanya nini?
Nimefurahi kukuona Babu!!
Habari ya gerezani.
Vipi wafungwa wamegeuka kondoo wa bwana huko?
Karibu sana mwaya.
Hivi wewe umezisoma tarehe za hii nyuzi???
Mimi nampotezea tu hakuna haja ya kulumbana naeHabari za muda huu
Naomba tuchangia hii mada inayosema,
"Ukimfumania Mpenzi Wako Unamfanyaje? Binafsi Ninaachana nae........
Karibuni sana
Twin[emoji5]Mpaka yanitokee ndio nitajua nitafanya nini. Kwa sasa nahisi nitadanganya tu!
Daah twin unapotea sana. Au ni mimi ndio napotea.?Twin[emoji5]
Unatoka kwa kasi ya ajabu na kuepush moto wa powerbank na utapewa zawadi.Habari za muda huu
Naomba tuchangia hii mada inayosema,
"Ukimfumania Mpenzi Wako Unamfanyaje? Binafsi Ninaachana nae........
Karibuni sana