Unafanya nini na elimu yako ya darasani huko ulipo?

Unafanya nini na elimu yako ya darasani huko ulipo?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Elimu ni mtaji ndio msemo wa wahenga ulioimiza watu wasome kwa bidii kwa kutegemea Return ya mtaji baada ya elimu,

Lakini kati ya wote waliosoma yawezekana ni 20% tu ndio Elimu imewapa huo mtaji.

Je unafanya nini sasa na Elimu yako ya darasani huko ulipo?

Ya kwangu naichomea kiepe hapa kibandani kwangu ya kwako Je?



Cc Zero IQ
 
Sijajua ni elimu ya CBE au ni ujinga wangu Mimi maana kuna watu Nikiwaambia nimesoma Diploma wanasema mbona nimekaa kijinga jinga
 
Alhamdulilah..nilichokisomea ndo nakifanyia kazi now..ila kwa mshahara huu ngumu kutoboa..Mungu tu anitie ujasiri mana nayo yawaza ni Mazito mno.
 
Back
Top Bottom