Mie ni Mama Ntilie hapa Magomeni Migomigo..
Nashukuru mungu nimepata uwezo wa kununua simu yenye mtandao..
Asubuhi baada ya kuwahudumia wateja supu..naingia JF
Nikimaliza kuandaa chakula cha mchana wakati nasubiri wateja naingia JF
Mchana wakimaliza kula naosha vyombo na kufunga..tayari kwa kuhudumia family
Lol.....
Aiseeee....
Ngoja niongee na Kongosho na Bagah tuje na jibu moja ila jibu la kwanza sisi ni MODS....
HahahahahahahaaKweli aisee,utakuta kila ukichungulia wapo, hawa ni ma IT tu
japo na mie sijambo kila napopata muda nimo